• Jeshi la Israel lawaua shahidi Wapalestina 3 kwa droni Ukingo wa Magharibi

    Jeshi la Israel lawaua shahidi Wapalestina 3 kwa droni Ukingo wa Magharibi

    Jun 22, 2023 03:24

    Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendeleza umwagaji damu kwa kuwaua shahidi Wapalestina watatu katika shambulizi la ndege isiyo na rubani (droni) huko kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Wazayuni kadhaa waangamizwa katika shambulizi la kulipiza kisasi

    Wazayuni kadhaa waangamizwa katika shambulizi la kulipiza kisasi

    Jun 21, 2023 08:38

    Makundi ya muqawama ya Palestina yamefanya operesheni ya ulipizaji kisasi na kuwaangamiza Wazayuni wanne na kujeruhi wengine wanne karibu na Ramallah katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Lieberman atoa wito wa kurejeshwa kwa sera ya mauaji ya kigaidi Ukanda wa Gaza

    Lieberman atoa wito wa kurejeshwa kwa sera ya mauaji ya kigaidi Ukanda wa Gaza

    Jun 20, 2023 04:06

    Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amelitaka jeshi la utawala huo kutekeleza tena sera ya kuwaua kigaidi makamanda wa harakati za mapambano ya ukombozii ya Palestina katika Ukanda wa Gaza na kutekeleza operesheni kubwa za kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Wazayuni: Mapigano yalikuwa makali Jenin, tumehisi kama tunakabiliana na Hizbullah ya Lebanon

    Wazayuni: Mapigano yalikuwa makali Jenin, tumehisi kama tunakabiliana na Hizbullah ya Lebanon

    Jun 19, 2023 23:46

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimelazimika kukiri kwamba mapambano yaliyotokea jana Jumatatu kwenye mji wa Jenin huko Palestina yalikuwa tata na ya kipekee kutoka kwa wanamapambano wa Palestina.

  • Wazayuni wanataka kuwakatisha tamaa vijana wa Palestina

    Wazayuni wanataka kuwakatisha tamaa vijana wa Palestina

    Jun 19, 2023 07:27

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akizungumza leo Jumatatu mjini Tehran katika kikao na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na ujumbe alioandamana nao wa viongozi wa harakati hiyo amesisitiza kuwa, Wazayuni wanataka kuwakatisha tamaa vijana wa Palestina.

  • Jeshi la Israel laua na kujeruhi makumi ya Wapalestina Jenin

    Jeshi la Israel laua na kujeruhi makumi ya Wapalestina Jenin

    Jun 19, 2023 07:03

    Jeshi la utawala wa Kizayuni Israel limeua na kujeruhi makumi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • "Uporaji wa ardhi wa Israel, sababu kuu ya matatizo ya Wapalestina"

    Jun 17, 2023 07:37

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kuporwa na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina kunakofanywa na utawala ghasibu wa Israel ndiyo sababu kubwa ya kukumbwa na matatizo jamii ya Wapalestina katika kila sekta.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Adui Mzayuni amechanganyikiwa

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Adui Mzayuni amechanganyikiwa

    Jun 17, 2023 02:46

    Akizungumza karibuni na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na ujumbe aliofuatana nao, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema hali ya sasa ya utawala wa Kizayuni wa Israel inatofautiana sana na ya miaka sabini iliyopita na kusisitiza: Hii leo adui Mzayuni yuko katika hali ya kutojua la kufanya na hali hii inaonyesha kuwa Jihad Islami ya Palestina na makundi mengine ya mapambano yametambua vyema njia ya kufuata na yanasonga mbele kwa busara.

  • Amnesty: Hujuma za Israel dhidi ya Gaza yumkini ni jinai za kivita

    Amnesty: Hujuma za Israel dhidi ya Gaza yumkini ni jinai za kivita

    Jun 15, 2023 03:05

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema huenda Israel ilifanya jinai za kivita katika mashambulizi ya anga ya utawala huo haramu wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza mwezi uliopita wa Mei.

  • China na Palestina zaafikiana kuanzisha ushirikiano wa kistratajia

    China na Palestina zaafikiana kuanzisha ushirikiano wa kistratajia

    Jun 15, 2023 03:04

    Rais Xi Jinping wa China amekutana na kufanya mazungumzo na Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina mjini Beijing, ambapo wawili hao wameafikiana juu ya kuanzisha ushirikiano wa kistratajia.