-
Sisitizo kuhusu utambulisho wa ubaguzi wa rangi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
May 29, 2023 07:46Mjukuu wa Nelson Mandela, marehemu kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao zilizoghusubiwa na kusema: “Wapalestina wanahitaji kuungwa mkono kivitendo kwa ajili ya kupata uhuru.”
-
China yaitaka Israel iache chokochoko, uporaji wa ardhi za Wapalestina
May 25, 2023 23:50China imeutaka utawala haramu wa Israel ukomeshe mara moja tabia yake ya uchokozi, kuchochea taharuki na kupora ardhi na rasilimali za Wapalestina hasa katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
OIC yalaani kuuawa shahidi Wapalestina 3 Nablus
May 22, 2023 23:49Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani kitendo cha wanajeshi makatili wa Israel cha kuwaua shahidi Wapalestina watatu katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Afisa wa zamani wa Kizayuni akiri utawala huo ulimuua mwandishi wa habari wa Palestina, Shireen Abu Akleh
May 20, 2023 03:22Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar imetangaza katika ripoti yake kwamba afisa mmoja wa ngazi ya juu katika ofisi ya waziri wa zamani wa ulinzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwa serikali ya Marekani kwamba Israel ilihusika na mauaji ya mwandishi wa habari wa Kipalestina "Shireen Abu Akleh" aliyepigwa risasi na wanajeshi wa utawala huo ghasibu.
-
Kongamano la kimataifa la Palestina lafanyika Rome Italia
May 17, 2023 02:57Kongamano la kimataifa la Palestina katika sheria za kimataifa limefanyika katika ubalozi wa Palestina mjini Rome mji mkuu wa Italia.
-
Vita vya siku tano Gaza vimedhihirisha nguvu na uwezo wa Muqawama wa Palestina
May 14, 2023 08:25Mashambulizi ya anga ya utawala haramu wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na majibu ya makundi ya Palestina kwa jinai za utawala huo ghasibu yamesajili kumbukumbu ya makabiliano mengine katika historia ya Muqawama wa Palestina.
-
Al Mashat ataka kususiwa bidhaa za Marekani na Wazayuni
May 11, 2023 09:37Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amezitolea wito nchi za Kiarabu na Kiislamu kususia bidhaa za Marekani na za utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, muqawama na mapambano yao.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Maghasibu wameshambulia maeneo 200 ya Ghaza katika siku 2
May 11, 2023 08:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa maghasibu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika muda wa siku mbili wameshambulia maeneo 200 ya Ukanda wa Ghaza na kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba: Makazi ya raia ndiyo yaliyolengwa pakubwa katika hujuma hizo za Wazayuni.
-
Kana'ani Chafi: Kuuawa Wapalestina limekuwa jambo la kawaida la kila siku kwa Wazayuni
May 08, 2023 02:58Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matokeo ya kimya cha wanaodai kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na mauaji dhidi ya Wapalestina kumefanya kuuawa Wapalestina hao kuwa jambo la kawaida na la kila siku la Wazayuni.
-
Kundi jipya la mapambano laundwa Palestina kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Khader Adnan
May 06, 2023 22:51Makundi ya muqawama na mapambano ya Palestina katika kambi ya Al-Jalzoon mjini Ramallah yametangaza kuwa limeundwa kundi jipya la muqawama kwa lengo la kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Khader Adnan.