-
Raisi: Kusimama kidete mataifa ya Syria na Palestina kumeiimarisha kambi ya muqawama
May 04, 2023 03:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimama imara mataifa ya Palestina na Syria kumebadilisha hali ya mambo kwa manufaa ya kambi ya muqawama na leo hii utawala wa Kizayuni wa Israel ni dhaifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
-
Sisitizo la Iran na Qatar la kuimarisha uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina
Apr 22, 2023 05:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar kuwa kupanua na kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya
Apr 14, 2023 23:07Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anasema kuwa utawala wa Israel uko karibu kuporomoka huku ukikabiliwa na migogoro kadhaa wakati ambao harakati za ukombozi wa Palestina zinapata uhai mapya.
-
Qatar: Kuwaunga mkono Wapalestina ni kipaumbele katika sera zetu za nje
Apr 14, 2023 03:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema, kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ni kipaumbele cha kwanza cha sera za nje za nchi hiyo.
-
Spika wa Bunge la Iran: Uchokozi wa utawala wa Israel unathibitisha utambulisho wake wa kifashisti na kibaguzi
Apr 10, 2023 23:33Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu, Bunge la Iran, amesema vitendo vya kichokozi vilivyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu vinadhihirisha tabia ya utawala huo wa kifashisti na ubaguzi wa rangi.
-
Kiongozi wa Palestina: Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita
Apr 10, 2023 22:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Wananchi wa Palestina ameashiria uungaji mkono mkubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Palestina na kusisitiza kuwa Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita.
-
Algeria yataka kikao cha dharura cha Mabunge ya Kiislamu kujadili hujuma za Israel dhidi ya al-Aqswa
Apr 10, 2023 22:46Spika wa Bunge la Algeria ametoa mwito wa kuitishwa mkutano wa dharura kuhusu Palestina ili kujadili hali ya mambo hasa baada ya hujuma na mashambulio ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel dhidii ya msikiti wa al-Aqswa.
-
Kanani Chafi: Nchi za Kiislamu zizuie kupotoshwa fikra za waliowengi kuhusu kadhia ya Palestina
Apr 10, 2023 08:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zina wajibu wa kuuzuia utawala wa Kizayuni kutumia anga za kisiasa katika eneo kwa ajili ya kupotosha fikra za waliowengi kuhusu suala la Palestina.
-
Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina
Apr 05, 2023 03:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza na kusifu misimamo ya serikali na wananchi wa Mauritania ya kuunga mkono malengo matukufu ya wananchi wa Palestina.
-
Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 02, 2023 23:53Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.