-
Gazeti maarufu la Guardian lajiondoa kwenye X kulalamikia hisia hasi na mielekeo ya ubaguzi
Nov 14, 2024 05:58Gazeti la The Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limetangaza kuwa litaacha kuweka maandiko yake kwenye X, mtandao wa kijamii uliokuwa ukijulikana kama Twitter.
-
Mwanajudo wa Algeria akataa kushindana na mwakilishi wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 30, 2024 02:28Judoka wa Algeria amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
-
Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Uislamu yafanyika mjini Paris
Apr 22, 2024 06:18Baada ya mabishano mengi na ruhusa iliyotolewa na mahakama ya kiidara ya Ufaransa, maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Uislamu yamefanyika huko Paris, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Mpango wa Ufaransa wa kupiga marufuku hijabu katika michezo ya Olimpiki ya Paris wapigwa veto
Sep 30, 2023 15:47Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa imepinga mpango wa Ufaransa wa kupiga marufuku vazi la hijabu katika michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
-
Waziri wa Ufaransa akiri kuadimika dizeli na petroli mjini Paris
Oct 20, 2022 00:44Waziri wa Usafirishaji wa Nishati wa Ufaransa ametangaza kuadimika mafuta ya dizeli ya petroli katika vituo vya mafuta vya mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Kukamatwa watu 150 katika maandamano ya Paris
Dec 13, 2020 09:06Mji wa Paris nchini Ufaransa umeshuhudia ghasia na maandamano mapya ya kupinga muswada wa usalama uliowasilishwa bungeni na serikali ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo, ambapo watu 150 wametiwa nguvuni katika maandamano hayo.
-
Waislamu waandamana Paris kulaani vitendo vya uchupaji mipaka
Oct 25, 2020 03:11Waislamu kadhaa wanaoishi nchini Ufaransa wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris lengo likiwa ni kulaani vitendo vya ghasia na uchupaji mipaka.
-
Watoto 700 wanalala katika barabara za mitaa ya Paris, Ufaransa
Nov 21, 2019 06:56Jumuiya 12 zinazojihusisha na watoto wasiokuwa na makazi nchini Ufaransa zimefichua kwamba, watoto wadogo 700 wanaishi pamoja na familia zao katika barabara za mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Dakta Zarif: Madola ya Ulaya yatekeleze kivitendo ahadi zao za JCPOA
Aug 24, 2019 12:23Waziri wa Mashauri yay Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo madola ya Ulaya yatatekeleza kivitendo ahadi zao za makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, basi Iran nayo iko tayari kuachana na hatua ilizochukua za kupunguza uwajibikaji wake kwa mujibu wa makubaliano hayo.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu wakusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia Paris kulaani jinai za Aal Saud
May 04, 2019 02:52Kundi la wanaharakati wa msuala ya haki za binadamu limekusanyika tena mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Paris Ufaransa na kulaani jinai ya hivi karibuni ya Aal Saud ya kuwanyonga raia 37 wa nchi hiyo.