-
Polisi ya Nigeria yafyatua gesi ya kutoa machozi katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia
Jun 13, 2021 02:50Polisi wa Nigeria wamefyatua gesi ya kutoa machozi kutawanya waandamanaji wanaopinga serikali huko Lagos na katika mji mkuu, Abuja, na ripoti zinasema kuwa baadhi ya wanaadamanaji hao wakamatwa na wengine kujeruhiwa.
-
Amnesty yasema Nigeria inajaribu kuficha mauaji ya raia mjini Lagos
Jan 29, 2021 07:46Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeituhumu serikali ya Nigeria kuwa inafanya jitihada za kuficha mauaji ya kutisha ya wananchi waliokuwa wakiandamana katika mji wa Lagos mwezi Oktoba mwaka uliopita.
-
Mahakama ya Uganda yaiamuru polisi imuondolee Bobi Wine kizuizi cha nyumbani
Jan 25, 2021 12:42Mahakama nchini Uganda imeamuru vikosi vya usalama vya nchi hiyo viondoe mzingiro vilioweka kwenye nyumba ya kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ambaye yuko kwenye kizuizi cha nyumbani tangu ulipofanyika uchaguzi wa rais januari 14.
-
Serikali ya Ufaransa yafutilia mbali muswada wa marufuku ya kupigwa picha polisi
Dec 03, 2020 02:37Serikali ya Ufaransa imefutilia mbali muswada iliokuwa umeuwasilisha bungeni kwa ajili ya kupiga marufuku upigwaji picha maafisa wa polisi wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao, na hilo limetokana na ukosolewaji mkali uliofanywa dhidi ya utendaji wa jeshi la polisi.
-
Maandamano makubwa ya kupinga vitendo vya polisi vya utumiaji mabavu na ubaguzi nchini Ufaransa
Dec 01, 2020 02:35Kufuatia kuongezeka migogoro ya kijamii na kisiasa nchini Ufaransa katika miezi ya hivi karibuni, kumeshuhudiwa ongezeko la vitendo vya polisi vya utumiiaji mabavu na ubaguzi wa rangi. Maovu hayo ya polisi ya Ufaransa yamepelekea kuibuka maandamano makubwa ya wananchi wanaolalamikia hali hiyo.
-
Mkumi ya maelfu ya askari wa Iraq kushiriki katika ulinzi wa maombolezo ya Ashura
Aug 25, 2020 11:49Mkuu wa Jeshi la Polisi la Karbala Iraq amesema, askari 30 elfu wamewekwa tayari kwa ajili ya kulinda usalama wa wafanya ziara na waombolezaji wa Ashura ya Imam Husain AS.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani
Jul 26, 2020 02:40Maandamano makubwa na yasiyo na mfano wake ambayo yamekuwa yakifanyika nchini Marekani tokea kuuawa kinyama kwa Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minnesota katika jimbo la Minneapolis tarehe 25 Mei, yangali yanaendelea licha ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na serikali ya Trump dhidi ya waandamanaji.
-
Serikali ya mpito Sudan yampiga kalamu nyekundu Mkuu wa Jeshi la Polisi na Naibu wake
Jul 06, 2020 10:51Serikali ya mpito ya Sudan imetangaza kuwa imemwachisha kazi mkuu wa jeshi la Polisi na naibu wake, siku chache baada ya kufanyika maandamano makubwa ya kutaka hatua zaidi zichukuliwe dhidi ya maafisa wenye mfungamano na aliyekuwa rais wa nchi hiyo aliyeondolewa madarakani, Omar al-Bashir.
-
Binti wa Luther King awataka Wamarekani kuendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi
Jun 24, 2020 13:15Binti wa aliyekuwa kiongozi wa harakati ya kupigania haki za kiraia za Wamarekani wenye asili ya Afrika, Martin Luther King, amewataka raia wa nchi hiyo waendeleze maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani hadi uadilifu utakapotendeka.
-
Wananchi wa Kenya waandamana kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo
Jun 09, 2020 08:06Wananchi wa Kenya wamefanya maandamano katika mji mkuu Nairobi, kulaani ukandamizaji na ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia.