-
Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusi
May 30, 2020 02:53Ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi hususan dhidi ya watu weusi daima ni mambo ambayo yamekuwa yakilaaniwa katika jamii ya Marekani.
-
Chama kikuu cha upinzani Zimbabwe chaitaka polisi ieleze waliko wanaharakati waliotoweka
May 15, 2020 07:54Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe cha Harakati kwa ajili ya Mabadiliko ya Kidemokrasia (MDC) kimesema, wanaharakati wake watatu wametoweka baada ya kushiriki maandamano ya kulalamikia uhaba wa chakula; na polisi inakana kuwashikilia wakati awali ilivieleza vyombo vya habari vya ndani kwamba wanaharakati hao walikuwa wamekamatwa.
-
Polisi wa Ufaransa waimarisha mgomo wao
Feb 08, 2020 07:50Polisi wa kitengo cha 'teknolojia na elimu' nchini Ufaransa wameimarisha mgomo wao sawa na wafanyakazi wengine wa serikali katika kupinga mabadiliko ya sheria ya ustaafu nchini humo.
-
Polisi Afrika Kusini: Kiwango cha mauaji nchini kinatisha
Sep 13, 2019 02:37Polisi nchini Afrika Kusini imeeleza wasiwasi wake kutokana na kukithiri kwa kiwango cha mauaji ya kiholela nchini humo.
-
Baraza la Kiislamu nchini Ujerumani lalalamikia miamala mibaya ya polisi dhidi ya Waislamu
Jun 07, 2019 03:07Baraza Kuu la Waislamu nchini Ujerumani limekosoa mimala ya ukandamizaji ya maafisa wa polisi wa nchi hiyo kuwalenga Waislamu.
-
Polisi wa Nigeria watuhumiwa kuwabaka washukiwa wa ukahaba
May 07, 2019 07:36Jeshi la Polisi la Nigeria linachunguza madai kuwa baadhi ya maafisa wake waliwabaka mamia ya wanawake waliowakamata kwa tuhuma za kujihusisha na ukahaba.
-
Interpol yaokoa makumi ya watoto kutoka katika masoko ya utumwa Afrika Magharibi
Apr 25, 2019 07:48Polisi ya Kimataifa (Interpol) imefanikiwa kuwanusuru makumi ya watu aghalabu yao wakiwa ni watoto, waliokuwa katika masoko ya utumwa katika nchi mbili za Afrika Magharibi.
-
Polisi yawazuilia watoto wa wanachama wa Harakati ya Kiislamu Nigeria
Apr 19, 2019 03:01Polisi nchini Nigeria imewatia mbaroni na kuwazuilia makumi ya watoto wa wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Polisi: Watu 16 wameuawa kwa risasi katika maandamano nchini Sudan
Apr 13, 2019 08:09Polisi nchini Sudan imesema kuwa, kwa akali watu 16 wameuawa huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa katika maandamano ya Alkhamisi na jana Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum.
-
Wamarekani weusi waandamana kupinga kitendo cha kufutiwa mashtaka polisi mzungu aliyeua kijana mweusi
Mar 23, 2019 13:53Wanasheria na familia ya kijana mwenye asili ya Kiafrika aliyeuawa na polisi mzungu nchini Marekani wamefanya maandamano mbele ya mahakama wakilaani kitendo cha kufutiwa mashtaka polisi huyo muuaji katika jimbo la Pennsylvania.