-
Besigye akamatwa tena, polisi Uganda yatumia vitoa machozi kuzima mkutano wa upinzani
Nov 15, 2017 07:19Kwa mara nyingine tena polisi ya Uganda imemtia mbaroni kinara wa upinzani nchini humo Kizza Besigye, kwa tuhuma za kuitisha mkutano wa hadhara pasina kibali cha vyombo vya usalama.
-
Polisi Nigeria yatumia mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 11, 2017 03:13Polisi nchini Nigeria imetumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuvunja matembezi ya amani ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakishiriki maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu Abuja.
-
Askari wa Nigeria wawaua shahidi Waislamu wawili katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Nov 06, 2017 09:24Askari wa Nigeria wameuhujumu msafara wa waumini waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS katika jimbo la Kano na kuwaua shahidi Waislamu wawili wa madehehbu ya Shia.
-
Wazayuni waunda kikosi kipya cha polisi ili kuwakandamiza zaidi Waislamu
Nov 02, 2017 04:11Waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa amri ya kuundwa kikosi kingine maalumu kitakachowakandamiza Wapalestina katika Msikiti wa al Aqsa.
-
'Polisi Kenya wameshaua watu 36 katika machafuko ya uchaguzi'
Nov 01, 2017 16:17Shirika moja la haki za binadamu la Kenya limetoa ripoti na kusema kuwa, zaidi ya watu 36 wameshauliwa na polisi tangu tarehe 11 Agosti siku yalipotangazwa matokeo ya uchaguzi wa kwanza wa rais nchini Kenya hadi hivi sasa.
-
Watu 5 wauawa katika maandamano dhidi ya serikali katika mji wa Goma, Kongo DR
Oct 31, 2017 02:47Maandamano ya wananchi ya kupinga serikali yaliyozusha makabiliano baina yao na polisi jana Jumatatu katika wilaya za Madjengon na Mabanga katika mji wa Goma mkoani Kivu ya Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesababisha vifo vya watu watano.
-
Polisi Kenya: Watu 4 wameuawa katika maandamano ya upinzani
Oct 20, 2017 17:13Polisi ya kenya imesema kuwa watu wanne wameuawa katika maandamano ya upinzani nchini humo katika kipindi cha wiki mbili zilizopita huku uchaguzi wa rais wa marudio ukikaribia kufanyika wiki ijayo. Polisi ya Kenya imesema kuwa watu hao waliuawa katika mapigano yaliyotokea kati ya maafisa polisi na waandamanaji.
-
DPP wa Kenya aagiza uchunguzi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa IEBC
Sep 24, 2017 14:33Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma nchini Kenya (DPP), Keriako Tobiko ameagiza polisi na Kamisheni ya Maadili ya Kupambana na Ufisadi EACC kuanzisha uchunguzi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Tume ya Uchaguzi nchini humo, kutokana na kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi wa mwezi uliopita.
-
Polisi ya Kenya yatumia gesi ya kutoa machozi baada ya wanawake kuvamiwa mkutanoni
Sep 13, 2017 14:59Polisi nchini Kenya katika mji wa Kisumu magharibi mwa nchi hiyo leo wamenyunyiza angani gesi ya kutoa macho na kufyatua risasi ili kuwatawanya vijana wa kiume waliovamia hoteli moja na kuanza kuwapiga wanawake waliokuwa wakihudhuria mkutano wa uchaguzi mjini humo.
-
Polisi yashutumiwa kwa kuvamia ofisi za asasi zisizo za serikali Kenya
Aug 16, 2017 14:27Mashirika ya kiraia na yale ya kutetea haki za binadamu yamekosoa vikali hatua ya vyombo vya dola ya kuvamia na kutaka kufunga kwa nguvu ofisi ya asasi isizo ya serikali katika mji mkuu Nairobi.