-
HRW: 27 wauawa katika makabiliano ya polisi na waandamanaji DRC
Aug 11, 2017 07:11Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwa akali watu 27 waliuawa katika makabiliano baina ya maafisa wa polisi na waandamanaji huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu iliyopita.
-
Polisi wanne wa Misri wauawa katika shambulizi la Daesh eneo la Sinai
Aug 10, 2017 14:42Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daeh (ISIS) limekiri kutekeleza shambulizi dhidi ya gari la polisi ya Misri na kuua maafisa wanne wa usalama katika eneo la Sinai.
-
DW yalaani ukandamizaji wa polisi ya Nigeria kwa ripota wake alipokuwa akiakisi ukatili dhidi ya Waislamu wa Shia
Jun 26, 2017 07:50Viongozi wa Shirika la Utangazaji la Ujerumani la Deutsche Welle wamekosoa miamala mibaya ya maafisa usalama wa Nigeria dhidi ya ripota wao wakati alipokuwa akiandaa ripoti ya ukandamizaji wa polisi hao dhidi ya maandamano ya Waislamu wa Kishia nchini humo.
-
Polisi ya Israel yafunga Msikiti wa al-Aqsa, wazuia ibada za Waislamu
Jun 11, 2017 14:06Maafisa wa polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefunga na kuuzingira Msikiti wa al-Aqsa sambamba na kuwazuia waumini wa Kiislamu kuingia na kutoka kwenye msikiti huo, ambacho ni Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Kituo cha polisi chashambuliwa Somalia, 23 wauawa na kujeruhiwa
Jun 05, 2017 14:09Watu watatu wameuawa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa katika shambulizi la guruneti dhidi ya kituo cha polisi nchini Somalia mapema leo Jumatatu.
-
Maafisa polisi 7, raia 1 wauawa katika shambulizi la bomu Lamu, Kenya
May 31, 2017 15:00Maafisa saba wa polisi ya utawala wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa kando ya barabara katika kaunti ya Lamu, kusini mashariki mwa Kenya.
-
Ashtari: Iran iko tayari kuzipatia uzoefu wa kipolisi nchi za Kiislamu
May 25, 2017 13:57Mkuu wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikosi cha polisi cha taifa hili kiko tayari kushirikiana na nchi zote katika nyuga zote husuasan katika suala la kupambana na uhalifu wa kimataifa.
-
Polisi Tanzania yaanzisha operesheni maalum baada ya kuuawa polisi 8
Apr 15, 2017 07:45Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amelaani mauaji ya askari polisi wanane wa nchi hiyo waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha siku ya Alhamisi katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani nchini humo, huku polisi ikianzisha operesheni maalumu kufuatia mauaji hayo.
-
Kiongozi wa upinzani nchini Zambia akamatwa na polisi
Apr 11, 2017 16:39Polisi nchini Zambia imemtia mbaroni Hakainde Hichilema, kinara wa chama kikuu cha upinzani cha United Party for National Development.
-
Maafisa polisi zaidi ya 140 wa Rwanda wawasili nchini Sudan Kusini
Apr 05, 2017 07:43Rwanda imetuma makumi ya maafisa wa polisi wa kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.