-
Watano wauawa London katika hujuma ya kigaidi, makumi wajeruhiwa
Mar 23, 2017 03:07Watu watano wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya mtu mmoja kushambulia watu waliokuwa wakitembea kwa miguu kwa kuwagonga kwa gari nje kidogo ya jengo la Bunge la Uingireza mjini London.
-
Museveni aagiza kuwekwa CCTV Uganda baada ya kuuawa Msemaji wa Polisi
Mar 18, 2017 07:35Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameagiza kamera za CCTV zitundikwe katika miji mikubwa na barabara zote kuu za nchi hiyo, kufuatia mauaji ya Msemaji wa Jeshi la Polisi wa nchi hiyo jana Ijumaa.
-
Jeshi la Nigeria: Tutapeleka kikosi maalumu cha polisi katika maeneo yenye machafuko
Feb 23, 2017 13:15Jeshi la polisi nchini Nigeria limetangaza azma yake ya kupeleka kikosi maalumu cha polisi kwa ajili ya kusimamia amani katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Polisi wa Myanmar waunda kamati ya kuchunguza kuteswa Waislamu
Feb 14, 2017 03:15Baada ya kuongezeka mashinikizo makubwa ya kimataifa, hatimaye jeshi la polisi la Myanmar limetangaza nia yake ya kuwasaili na kuwachunguza maafisa wa polisi wanaodaiwa kuwanyanyasa na kuwatendea vitendo viovu Waislamu wa Rohingya.
-
Rwanda yawafuta kazi makumi ya polisi kwa kula rushwa
Feb 08, 2017 03:35Serikali ya Rwanda imewafukuza kazi maafisa polisi 200 waliohusishwa na ufisadi nchini humo. Uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na Taasisi ya Transparency International umeonyesha kuwa Rwanda ni nchi ya tatu yenye ufisadi wa kiwango cha chini katika nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika.
-
Polisi Nigeria wawafyatulia mabomu ya kutoa machozi wafuasi wa Sheikh Zakzaky
Jan 26, 2017 13:52Maafisa usalama nchini Nigeria wamewafyatulia mabomu ya kutoa machozi wafuasi wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anaendelea kuzuiliwa kinyume cha sheria.
-
Maafisa 8 wa polisi wa Misri wauawa kwa kufyatuliwa risasi
Jan 17, 2017 07:14Kwa akali askari polisi wanane wa Misri wameuawa kwa kufyatuliwa risasi na kundi la watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha katika kituo cha upekuzi cha Naqb, mkoa wa New Valley usiku wa kuamkia leo.
-
Polisi Bahrain washambulia shule na kufyatulia wanafunzi mabomu
Jan 12, 2017 03:46Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamekosoa vikali hatua ya maafisa usalama wa Aal-Khalifa nchini Bahrain kushambulia shule moja na kuwafyatulia wanafunzi mabomu ya kutoa machozi.
-
Polisi ya Nigeria: Tutapambana kwa nguvu zote na magaidi
Dec 31, 2016 14:58Polisi ya Nigeria imesisitiza katika tangazo lake maalumu kwamba, imezimia kwa dhati kupambana kwa nguvu zake zote na magaidi na makundi yanayojihusisha na vitendo vya kuwateka nyara watu.
-
Wapinzani wapambana na polisi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Dec 29, 2016 14:52Maandamano ya nchi nzima huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yamewalazimisha polisi kuingilia kati kukabiliana nayo.