-
Putin na Kim watilia mkazo kuwepo uhusiano wa karibu zaidi kati ya Russia na Korea Kaskazini
Aug 15, 2023 23:18Rais Vladimir Putin wa Russia na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wameahidi kujenga ushirikiano wa karibu zaidi kati ya nchi zao mbili katika mawasiliano waliyofanya kwa barua kwa manasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Ukombozi wa Korea Kaskazini.
-
Putin: Russia iko tayari kushirikiaina kibiashara na nchi za Kiislamu
May 15, 2023 07:18Rais wa Russia ametangaza utayarifu wa nchi hiyo wa kuwa na ushirikiano mkubwa wa kibiashara na kiutamaduni na nchi za Kiislamu.
-
Putin asema: Wamagharibi wanataka kuigawa Russia
May 09, 2023 07:12Rais wa Russia ametangaza kwamba ustaarabu wa dunia unakabiliwa na mabadiliko makubwa, na kwamba lengo la Magharibi katika kueneza propaganda chafu dhidi ya Russia ni kuigawa nchi hiyo.
-
Erdogan: Uhusiano wangu na Putin ni wa "ukweli na kuaminiana"; Macron "si mkweli"
Jan 31, 2023 07:56Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema, uhusiano wake na Rais Vladimir Putin wa Russia na kwa ujumla kati ya nchi hizo mbili ni wa "ukweli na wenye msingi wa kuaminiana" na akamtaja Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuwa "si mtu mkweli".
-
Moscow yatoa onyo baada ya Washington kutishia kumuua Rais wa Russia
Dec 27, 2022 03:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa indhari baada ya maafisa 'wasiojulikana' wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kutoa vitisho vya kumuua Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo.
-
Putin: Nina uhakika wa asilimia 100 tutayateketeza makombora ya Marekani ya Patriot Ukraine
Dec 25, 2022 22:47Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuhusu uamuzi wa Marekani wa kutuma mitambo ya makombora aina ya Patriot nchini Ukraine, kwamba ana uhakika wa asilimia 100 vikosi vya jeshi la nchi yake vitayateketeza makombora hayo ya ulinzi wa anga ya Washington.
-
Rais Putin wa Russia kutohudhuria mkutano ujao wa G20
Nov 10, 2022 23:39Ikulu ya Rais wa Russia (Kremlin) imesema Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo hatoshiriki mkutano wa kundi la G20 unaotazamiwa kufanyika wiki ijayo mjini Bali nchini Indonesia.
-
Rais Putin: Kampuni kubwa 80 za Russia kwenda Iran wiki ijayo
Sep 15, 2022 23:37Rais Vladmir Putin wa Russia amesema Moscow imefanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa Iran inakua mwanachama kamili wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).
-
Putin: Kipaumbele ni kutuma nafaka za Ukraine kwa nchi zenye uhitaji mkubwa
Sep 15, 2022 06:27Rais wa Russia Vladimir Putin amesema katika mazungumzo ya simu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kwamba "kipaumbele kinapaswa kuwa kupeleka nafaka za Ukraine kwa nchi zenye uhitaji mkubwa duniani.
-
Tofauti kati ya safari ya Biden na Putin eneo la Asia Magharibi
Jul 19, 2022 04:04Baada ya safari ya Rais Joe Biden wa Marekani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na Saudi Arabia, Rais Vladimir Putin wa Russia leo yuko safarini nchini Iran. Kuna tofauti za wazi kati ya malengo na ajenda za safari ya Biden na Putin katika eneo la Asia Magharibi. Rais Tayyip Erdoğan wa Uturuki pia yuko safarani nchini Iran kwa lengo la mkutano wa pande tatu wa marais wa Iran, Russia na Uturuki.