-
Biden: Siombi radhi wala sibadili kauli yangu kuhusu Putin
Mar 29, 2022 07:54Rais Joe Biden wa Marekani amesema, haombi radhi wala hatobadili kauli yake kuhusu aliyosema kwamba Rais Vladimir Putin wa Russia hapasi kubaki madarakani.
-
Biden: Tutamjibu Putin iwapo atatumia silaha za kemikali
Mar 25, 2022 08:05Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza kuwa iwapo Rais Vladimir Putin wa Russia atatumia silaha za kemikali na kusababisha uharibifu mkubwa huko Ukraine Marekani itajibu hatua hiyo.
-
Peskov: Matamshi ya Biden dhidi ya Putin "hayasameheki", "hayakubaliki"
Mar 17, 2022 03:23Msemaji wa Rais wa Russia Dmitry Peskov ameyataja matamshi yaliyotolewa na Rais Joe Biden wa Marekani dhidi ya mwenzake wa Russia, Vladimir Putin kuwa "hayakubaliki" na "hayawezi kusamehewa."
-
Putin: Marekani inaitumia Ukraine kuidhibiti Russia
Feb 02, 2022 08:09Rais wa Russia amesema kuwa Washington imejaribu kila iwezalo kuidhibiti Russia na inaitumia Ukraine kama wenzo wa kufanikisha lengo hilo.
-
Rais Raisi wa Iran kutembelea Russia leo, kukutana na Rais Putin
Jan 19, 2022 03:28Rais Ebrahim Raisi wa Iran leo anaelekea Russia kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo kuhusu masuala muhimu ya kieneo, kimataifa na ya pande mbili.
-
Putin: Umaskini ni adui mkuu wa Russia
Oct 14, 2021 02:21Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa kiwango cha chini ya mapato ya aghalabu ya wananchi wa Russia ndio adui mkuu wa nchi hiyo na kueleza kuwa adui mkubwa zaidi wa Warussia ni mapatano ya kiwango cha chini ya mamilioni ya raia wa nchi hiyo.
-
Putin ataka kuhuishwa JCPOA katika muundo wake wa asili
May 01, 2021 13:16Rais Vladmir Putin wa Russia ametoa mwito wa kuhuishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuyarejesha katika muundo wake wa asili.
-
Rais Putin: Ugaidi ni tishio hatari zaidi kwa dunia
Feb 25, 2021 12:14Rais Vladimir Putin wa Russia amesema nchi yake itaendeleza vita dhidi ya ugaidi katika maeneo ya mbali kama vile Syria na kuongeza kuwa: "Ugaidi ni tishio hatari zaidi kwa dunia."
-
Putin: Vikwazo dhidi ya nchi zinazokabiliana na janga la corona vinapaswa kuondolewa
Dec 18, 2020 05:35Rais wa Russia amesisitiza katika mkutano wake wa kila mwaka kwamba, vikwazo na vizuizi vya kibiashara vilivyowekewa nchi ambazo zimeathiriwa na maambukizi ya corona vinapaswa kuondolewa.
-
Rais wa Russia asisitizia haki ya Wapalestina ya kupigania ukombozi wao
Nov 30, 2020 04:36Rais Vladimir Putin wa Russia amemtumia ujumbe wa maandishi Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Taifa la Palestina na kusisitiza kuwa ni haki ya taifa hilo kupigania ukombozi wake.