Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Putin

  • Rais Putin: Ugaidi ni tishio hatari zaidi kwa dunia

    Rais Putin: Ugaidi ni tishio hatari zaidi kwa dunia

    Feb 25, 2021 12:14

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema nchi yake itaendeleza vita dhidi ya ugaidi katika maeneo ya mbali kama vile Syria na kuongeza kuwa: "Ugaidi ni tishio hatari zaidi kwa dunia."

  • Putin: Vikwazo dhidi ya nchi zinazokabiliana na janga la corona vinapaswa kuondolewa

    Putin: Vikwazo dhidi ya nchi zinazokabiliana na janga la corona vinapaswa kuondolewa

    Dec 18, 2020 05:35

    Rais wa Russia amesisitiza katika mkutano wake wa kila mwaka kwamba, vikwazo na vizuizi vya kibiashara vilivyowekewa nchi ambazo zimeathiriwa na maambukizi ya corona vinapaswa kuondolewa.

  • Rais wa Russia asisitizia haki ya Wapalestina ya kupigania ukombozi wao

    Rais wa Russia asisitizia haki ya Wapalestina ya kupigania ukombozi wao

    Nov 30, 2020 04:36

    Rais Vladimir Putin wa Russia amemtumia ujumbe wa maandishi Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Taifa la Palestina na kusisitiza kuwa ni haki ya taifa hilo kupigania ukombozi wake.

  • Rais Putin wa Russia atangaza chanjo ya kwanza ya corora duniani, binti yake apewa chanjo hiyo

    Rais Putin wa Russia atangaza chanjo ya kwanza ya corora duniani, binti yake apewa chanjo hiyo

    Aug 11, 2020 12:14

    Rais Vladmir Putin wa Russia ametangaza leo kuwa, nchi yake imetengeneza chanjo ya kwanza kabisa ya virusii vya corona inayotoa kinga ya kudumu dhidi ya virusi hivyo.

  • Rais Rouhani asisitiza kuwa JCPOA itabakia hai kwa ushirikiano

    Rais Rouhani asisitiza kuwa JCPOA itabakia hai kwa ushirikiano

    Mar 01, 2020 03:09

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yataendelea kuwepo na kubakia hai madhali kutakuwepo na ushirikiano wa pande zote husika.

  • Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus

    Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus

    Jan 08, 2020 02:49

    Rais Vladimir Putin wa Russia jana aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria na kukutana na Rais wa nchi hiyo, Bashar Assad.

  • Rais Putin wa Russia ataka kuhitimishwa mgogoro wa Libya

    Rais Putin wa Russia ataka kuhitimishwa mgogoro wa Libya

    Dec 19, 2019 12:55

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema angependa kuona mgogoro wa Libya unapatiwa ufumbuzi na mazungumzo baina ya pande mbili hasimu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika yanaanza.

  • Putin ataka kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya Russia na Afrika

    Putin ataka kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya Russia na Afrika

    Oct 24, 2019 02:48

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa mwito wa kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi yake na nchi za bara Afrika.

  • Putin: Nchi za Kiarabu ziheshimu Iran na maslahi yake katika eneo

    Putin: Nchi za Kiarabu ziheshimu Iran na maslahi yake katika eneo

    Oct 13, 2019 08:09

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameziasa nchi za Kiarabu na nyinginezo katika Ghuba ya Uajemi na eneo la Asia Magharibi kuiheshimu Iran na kuitambua kama taifa lenye uwezo mkubwa katika eneo.

  • Juhudi za Putin za kukabiliana na Magharibi; kuunda G-7 mpya na makombora mapya

    Juhudi za Putin za kukabiliana na Magharibi; kuunda G-7 mpya na makombora mapya

    Sep 07, 2019 11:31

    Katika miaka ya karibuni Russia imefanya ubunifu na kuchukua hatua kadhaa kwa ajili ya kukabiliana na nchi za Magharibi hususan Marekani au imewasilisha mapendekezo kadhaa katika uwanja huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS