-
Putin: Nchi za Kiarabu ziheshimu Iran na maslahi yake katika eneo
Oct 13, 2019 04:39Rais Vladimir Putin wa Russia ameziasa nchi za Kiarabu na nyinginezo katika Ghuba ya Uajemi na eneo la Asia Magharibi kuiheshimu Iran na kuitambua kama taifa lenye uwezo mkubwa katika eneo.
-
Juhudi za Putin za kukabiliana na Magharibi; kuunda G-7 mpya na makombora mapya
Sep 07, 2019 07:01Katika miaka ya karibuni Russia imefanya ubunifu na kuchukua hatua kadhaa kwa ajili ya kukabiliana na nchi za Magharibi hususan Marekani au imewasilisha mapendekezo kadhaa katika uwanja huo.
-
Malengo halisi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia
Nov 18, 2018 03:32Uhusiano wa Marekani na Russia tangu baada ya kumalizika Vita Baridi umekuwa na pandashuka nyingi na mivutano ya mara kwa mara. Tangu mwaka 2011 Marekani imekuwa ikiiwekea vikwazo Russia kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Putin: Operesheni za anga za Israel zinakiuka uhuru wa kujitawala Syria
Sep 19, 2018 03:22Rais Vladimir Putin wa Russia amesema operesheni za anga za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika anga ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka na kujitawala serikali halali ya sasa ya Damascus. Putin amesema hayo huku mgogoro kuhusu ajali ya kutunguliwa ndege ya Russia katika anga ya Syria wakati wa shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo Kiarabu ukiendelea kutokota.
-
Qassemi: Yaliyozungumzwa baina Mjumbe wa Iran na Rais wa Russia hayajatangazwa
Jul 16, 2018 08:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Yaliyozungumzwa baina ya Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa na Rais Vladimir Putin wa Russia hayjatangazwa."
-
Kupuuza Mogherini na Putin mchezo wa kitoto wa Benjamin Netanyahu
May 01, 2018 07:37Ikulu ya Russia Kremlin imetangaza kuwa, Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Benjamin Netanyahuu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Putin: Lengo la mashambulizi ya Magharibi lilikuwa kuwasaidia magaidi
Apr 25, 2018 09:32Rais wa Russia amelitaja shambulio la makombora la nchi za Magharibi huko Syria kuwa lilitekelezwa ili kuwasaidia magaidi.
-
Putin apata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa rais Russia
Mar 19, 2018 00:52Vladimir Putin amechaguliwa tena kuingoza Russia baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi uliofanyika jana.
-
Rais Putin: Kiongozi wa Korea Kaskazini ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili
Jan 12, 2018 01:07Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini, ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili na aliyepikika.
-
The Guardian: 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea zaidi udikteta na kudhoofika Marekani
Dec 26, 2017 23:12Gazeti la Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa mwaka huu wa 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea udikteta na uchoyo na kudhoofika zaidi uongozi wa Marekani.