Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Qatar yasusia bidhaa za nchi nne za Kiarabu

    Qatar yasusia bidhaa za nchi nne za Kiarabu

    Jul 01, 2017 02:49

    Wananchi wa Qatar wamesusia bidhaa za nchi nne za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri baada ya nchi hizo kuendeleza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya nchi yao.

  • Utunishaji misuli dhidi ya Qatar na masharti yasiyotekelezeka ya Saudia

    Utunishaji misuli dhidi ya Qatar na masharti yasiyotekelezeka ya Saudia

    Jul 01, 2017 02:07

    Saudi Arabia na waitifaki wake wamezidi kuitunishia misuli Qatar kwa kuipa masharti 13 magumu ambayo ni muhali kutekelezeka. Viongozi wa nchi mbalimbali, wanasiasa mashuhuri wa kieneo na kimataifa akiwemo pia Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, wote wamesema kuwa masharti hayo hayatekelezeki.

  • Kundi la pili la wanajeshi wa Uturuki limewasili Qatar

    Kundi la pili la wanajeshi wa Uturuki limewasili Qatar

    Jun 30, 2017 03:41

    Televisheni rasmi ya Qatar leo asubuhi imetangaza kuwa, kundi jipya la wanajeshi wa Uturuki limewasili katika kambi ya jeshi la anga ya al Adida iliyopo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Doha.

  • Qatar yalaani ukaidi wa Saudia wa kukataa suluhu

    Qatar yalaani ukaidi wa Saudia wa kukataa suluhu

    Jun 28, 2017 10:34

    Serikali ya Qatar imelaani ukaidi wa Saudi Arabia wa kukataa kufanya mazungumzo na Doha kwa ajili ya kutafuta njia za kuondoa vikwazo vya nchi nne za Kiarabu dhidi ya Qatar.

  • Ujerumani: Masharti iliyopewa Qatar ni ya kichochezi sana

    Ujerumani: Masharti iliyopewa Qatar ni ya kichochezi sana

    Jun 27, 2017 03:16

    Ujerumani imeyataja kuwa ya kichochezi sana masharti iliyopewa Qatar kabla ya kutatulwa mgogoro wake na nchi nne za Kiarabu zinazoongozwa na Saudi Arabia.

  • Udiplomasia wa Marekani na changamoto ya hitilafu baina ya Trump na Tillesron

    Udiplomasia wa Marekani na changamoto ya hitilafu baina ya Trump na Tillesron

    Jun 26, 2017 11:34

    Gazeti la New York Times limefichua hitilafu zilizopo kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo Rex Tillerson kuhusu mvutano uliopo kati ya Saudi Arabia na Qatar.

  • Rais Rouhani: Iran imeazimia kupanua zaidi mahusiano na Qatar

    Rais Rouhani: Iran imeazimia kupanua zaidi mahusiano na Qatar

    Jun 26, 2017 03:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar, Tamim bin Hamad Aal Thani ambapo sambamba na kumuhakikishia kuwa, serikali na taifa la Iran liko pamoja na serikali na taifa la Qatar, amesema kuwa, siasa za Tehran zimelenga kuimarisha mahusiano zaidi na Doha.

  • Qatar: Hatutafanya mazungumzo na nchi za Kiarabu hadi ziondoe vikwazo vyao vya kiuchumi

    Qatar: Hatutafanya mazungumzo na nchi za Kiarabu hadi ziondoe vikwazo vyao vya kiuchumi

    Jun 20, 2017 09:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, Doha haitafanya mazungumzo na nchi za Kiarabu zilizoikatia mahusiano ya kidiplomasia, hadi zitakapohitimisha vikwazo vyao vya kiuchumi dhidi ya nchi hiyo.

  • Qatar yawasilisha rasmi malalamiko UN kutokana na uhasama wa Saudia

    Qatar yawasilisha rasmi malalamiko UN kutokana na uhasama wa Saudia

    Jun 19, 2017 22:02

    Serikali ya Qatar imewasilisha malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kufuatia hatua ya Saudia, Bahrain, Misri na Imarat ya kuiwekea mzingiro wa kiuchumi na kisiasa, baada ya nchi hizo kudai kuwa, Doha inaunga mkono ugaidi.

  • Kundi la kwanza la wanajeshi wa Uturuki lawasili nchini Qatar

    Kundi la kwanza la wanajeshi wa Uturuki lawasili nchini Qatar

    Jun 19, 2017 03:30

    Serikali ya Qatar imetangaza kuwa kundi la kwanza la wanajeshi wa Uturuki limewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo Doha katika utekelezaji wa makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa baina ya nchi mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS