-
"Serikali za Kiislamu ziyawekee vikwazo mataifa yanayoidhalilisha Qur'ani"
Aug 06, 2023 07:28Mkuu wa Kamati ya Haki za Binadamu katika Majlsi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ametoa mwito kwa madola ya Kiislamu kuziwekea vikwazo nchi zinazounga mkono vitendo vya kuvunjia heshima Kitabu Kitakafu cha Qur'ani.
-
Wasomi UK: Kushambulia Qur'ani ni uchupaji mipaka
Aug 06, 2023 07:07Wasomi mashuhuri nchini Uingereza wamelaani vitendo vya kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika nchi za Scandinavia na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya uchupaji mipaka vinapaswa kukomeshwa.
-
Papa Francis: Kuivunjia heshima Qurani ni ukatili
Aug 02, 2023 02:20Kwa mara nyingine tena Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amelaani vitendo vya karibuni vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Sweden na Denmark na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya kudhalilisha matukufu ya kidini havina tofauti na ukatili.
-
Upinzani Sweden wamtaka mbunge aliyemtusi Mtume (saw) kujiuzulu
Jul 29, 2023 04:17Upinzani nchini Sweden umemtaka mkuu wa Kamati ya Haki Bungeni na mwanachama wa chama cha Democrats kujiuzulu, baada ya kuchapisha maandishi ya kumkashifu Mtume Muhammad (saw) kupitia mitandao ya kijamii, huku Waziri wa Sheria wa Sweden akikiri kwamba, matukio ya kuchomwa moto Qur'ani Tukufu yameathiri vibaya sura ya nchi yake.
-
Hujjatul Islam Akbari: Walioivunjia heshima Qur'ani walitaka kuibua vita vya kidini
Jul 28, 2023 12:49Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria vitendo viovu vya kuchomwa moto Qur'ani Tukufu nchini Sweden na Denmark na kusema kuwa, waliokusudia kuibua vita baina ya wafuasi wa dini tofauti kwa kukivunjiwa heshima Kitabu hicho kitukufu wamefeli na kushindwa kufikia malengo yao.
-
Waislamu Nigeria waandamana kulaani kuchomwa moto Qurani
Jul 27, 2023 10:21Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.
-
Iran: Mkono wa Israel unaonekana kwenye vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani
Jul 26, 2023 03:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya Magharibi za Sweden na Denmark na kusema kuwa, alama za vidole za utawala haramu wa Israel zinaonekana wazi kwenye vitendo hivyo viovu.
-
Waislamu Afrika Kusini wataka jibu la haraka kwa kuvunjiwa heshima Qurani
Jul 24, 2023 11:27Waislamu nchini Afrika Kusini wameitaka serikali ya nchi hiyo itoe taarifa ya kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
-
Iraq: OIC itakutana kujadili kuvunjiwa heshima tena Qur'ani katika nchi za Ulaya
Jul 23, 2023 13:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapanga kufanya kikao cha dharura ili kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
-
Yemen yapiga marufuku bidhaa za Sweden kwa kuvunjia heshima Qurani
Jul 22, 2023 11:09Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen imepiga marufuku bidhaa za Sweden kuigizwa nchini humo, kama jibu kwa hatua ya nchi hiyo ya Ulaya ya kuruhusu vitendo vichafu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.