-
Waislamu Warohingya 150 wauliwa katika shambulio la jeshi la Myanmar
Nov 17, 2016 03:54Waislamu wasiopungua 150 wa jamii ya Rohingya wameuliwa katika mashambulio yaliyofanywa na jeshi la Myanmar katika eneo la Rakhine.
-
Jeshi la Myanmar laua makumi ya Waislamu wa Rohingya
Nov 14, 2016 11:55Jeshi la Myanmar limeua makumi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika wimbi jipya la ukandamizaji unaofanyika nchini humo dhidi ya jamii hiyo ya waliowachache hususan katika mkoa wa Rakhine.
-
Maandamano ya kuunga mkono Waislamu Warohingya yafanyika mbele ya White House
Nov 03, 2016 12:52Makumi ya watu wa jamii ya wachache nchini Myanmar ya Waislamu wa kabila la Rohingya pamoja na wanaharakati wa kisiasa wameandamana hadi mbele ya Ikulu ya Rais wa Marekani, White House kulalamikia sera za viongozi wa Myanmar za mauaji yaliyoratibiwa dhidi ya Waislamu hao.
-
Wanawake Waislamu nchini Myanmar wananajisiwa na askari
Oct 28, 2016 10:28Makumi ya wanawake Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wanasema wanajeshi wa serikali wamekuwa wakiwanajisi na kuwadhalilisha kijinsia.
-
Kuendelea mateso dhidi ya Waislamu wa Rohingya huko Myanmar
Oct 15, 2016 23:08Shambulio la hivi karibuni la watu wasiofahamika katika kituo cha ulinzi wa mpakani kati ya Myanmar na Bangladesh kimekuwa kisingizio tosha kwa jeshi na Mabudha wenye misimamo mikali huko Myanmar cha kuwashambulia tena Waislamu wa Rohingya katika mkoa wa Rakhine.
-
Malaysia yataka kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Waislamu wa Rohingya
Sep 25, 2016 00:45Ahmad Zahid Hamidi Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia ametaka kutekelezwa mpango kamili na jumuishi wa kuyapatia ufumbuzi matatizo yanayowakabili Waislamu wa Rohingya; ambao wamelazimika kuhama Myanmar na kuwa wakimbizi kutokana na mashinikizo ya Mabudha wenye misimamo mikali wa nchi hiyo.
-
Waislamu wa Myanmar waendelea kufanyiwa jinai za kutisha
Jun 20, 2016 23:18Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuendelea jinai za mabudha dhidi ya Waislamu wa Myanmar.