-
HRW: Waislamu Warohingya wanaishi kwenye 'jela ya wazi' na katika "unyonge na udhalili"
Oct 08, 2020 14:13Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema, Waislamu wapatao 130,000 wa jamii ya Rohingya waliosalia kwenye kambi za wakimbizi zilizoko kwenye jimbo la Rakhine nchini Myanmar wanaishi katika mazingira ya unyonge na udhalili. Human Rights Watch imeihimiza serikali ya nchi hiyo ikomeshe haraka uwekaji kizuizini huo wa kiholela na usio na mwisho wa watu hao.
-
UN yaonya kuhusu uhalifu zaidi wa kivita dhidi ya Waislamu nchini Myanmar
Sep 15, 2020 12:48Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Myanmar dhidi ya jamii ya Waislamu wa Rohingya.
-
"Mashambulizi ya anga ya Myanmar yaliyoua watoto ni jinai za kivita"
Jul 08, 2020 08:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema mashambulizi ya anga yaliyofanywa hivi karibuni na jeshi la Myanmar katika mkoa wa Rakhine na kuua idadi kubwa ya raia wakiwemo watoto wadogo ni jinai za kivita.
-
Picha za satalaiti zaonyesha nyumba za Waislamu wa Mynamar zikichomwa moto
May 27, 2020 03:50Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi baada ya picha za satalaiti kuonyesha nyumba za Waislamu katika mkoa wa Rakhine nchini Mynamar zikiteketea kwa moto.
-
UN: Jeshi la Myanmar linaendelea kuwafanyia jinai Waislamu Warohingya
Apr 30, 2020 08:01Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Myanmar amelituhumu jeshi la nchi hiyo kuwa lingali linawatendea jinai za kivita na zilizo dhidi ya binadamu Waislamu wa jamii ya Rohingya katika majimbo mawili ya nchi.
-
Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa kwa njaa ndani ya boti
Apr 17, 2020 04:25Makumi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wamepoteza maisha kutokana na njaa baada ya boti yao kukwama baharini kwa majuma kadhaa.
-
Warohingya 16 wapoteza maisha katika ajali ya boti Bangladesh
Feb 11, 2020 12:02Kwa akali Waislamu 16 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika Pwani ya Bengal, kaskazini mwa Bangladesh.
-
OIC yaitaka Myanmar iheshimu agizo la mahakama ya ICJ kuhusu Waislamu Warohingya
Jan 27, 2020 08:16Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imepongeza agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) lilioitaka serikali ya Myanmar kuchukua hatua za dharura za kuzuia mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Rohingya na kubainisha kwamba, serikali ya Myanmar inapaswa kuheshimu agizo hilo.
-
Middle East Eye: Saudia inazidisha mashaka ya Waislamu wa Rohingya
Jan 08, 2020 02:48Kituo cha habari cha Middle East Eye kimeripoti kuwa, Saudi Arabia inazidisha mashaka na masaibu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya huko Myanmar kwa kuwasaka, kuwakamata na kuwafukuza Warohingya wanaofanya kazi nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa wailaani Myanmar kwa kuwandamiza Waislamu Warohingya
Dec 29, 2019 02:53Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio ambalo linailaani vikali Myanmar kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na jamii za wengine waliowachache katika nchi hiyo ya Mabuddha.