Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rohingya

  • ICJ yaanza kusikiliza kesi kuhusu mauaji ya kimbari ya Waislamu Myanmar

    ICJ yaanza kusikiliza kesi kuhusu mauaji ya kimbari ya Waislamu Myanmar

    Dec 11, 2019 01:13

    Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imeanza kusikiliza kesi kuhusu mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar kufuatia shtaka ambalo limewasilishwa na Gambia.

  • HRW: Bangladesh inawanyima elimu watoto laki 4 wa Kirohingya

    HRW: Bangladesh inawanyima elimu watoto laki 4 wa Kirohingya

    Dec 04, 2019 07:08

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Bangladesh imewanyima haki ya kupata elimu watoto laki nne Waislamu Warohingya wanaoishi kama wakimbizi nchini humo.

  • Myanmar yapinga uchunguzi unaofanywa na ICC kuhusiana na jinai dhidi ya Waislamu

    Myanmar yapinga uchunguzi unaofanywa na ICC kuhusiana na jinai dhidi ya Waislamu

    Nov 16, 2019 12:21

    Utawala wa Myanmar umetangaza kupinga rasmi kuanza uchunguzi wa Mahakama ya Kimataia ya Jinai ICC kuhusiana na jinai zilizofanywa na askari wa nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

  • Gambia yafungua faili la mauaji ya Warohingya katika mahakama ya ICJ

    Gambia yafungua faili la mauaji ya Warohingya katika mahakama ya ICJ

    Nov 11, 2019 11:35

    Gambia imewasilisha faili la kesi ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Warohingya katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).

  • UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea

    UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea

    Oct 05, 2019 12:23

    Mchunguzi huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu Myanmar amesema mamia ya maelfu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya waliorejea mkoani Rakhine wakitokea Bangladesh wanakandamizwa na kuandamwa na kila aina ya dhuluma na kwa msingi huo, Myanmar sio salama kwa Warohingya zaidi kurejea.

  • 'Siku ya Mauaji ya Kimbari': Waislamu Warohingya 200,000 waandamana na kuwaombea dua wenzao makambini Bangladesh

    'Siku ya Mauaji ya Kimbari': Waislamu Warohingya 200,000 waandamana na kuwaombea dua wenzao makambini Bangladesh

    Aug 25, 2019 12:33

    Wakimbizi wapatao laki mbili Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchini Myanmar leo wameshiriki kwenye kumbukumbu ya mwaka wa pili tangu jeshi la Myanmar lilipowakandamiza na kuwalazimisha kuyahama makazi yao kwa umati na kukimbilia nchi jirani ya Bangladesh ili kunusuru maisha yao.

  • Indhari ya UN kuhusu hali mbaya ya kimasomo ya watoto wakimbizi Warohingya

    Indhari ya UN kuhusu hali mbaya ya kimasomo ya watoto wakimbizi Warohingya

    Aug 18, 2019 02:24

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema miaka miwili ya harakati za kila uchao za kujikwamua kimaisha kwa Waislamu wa jamii ya Rohingya waliosaka hifadhi nchini Bangladesh zimetumbukiza nyongo mustakabali wa elimu kwa kizazi kizima.

  • Mwendesha Mashtaka wa ICC ataka kuchunguzwa jinai dhidi ya Warohingya

    Mwendesha Mashtaka wa ICC ataka kuchunguzwa jinai dhidi ya Warohingya

    Jul 05, 2019 07:13

    Mwendesha Mashitaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ametoa mwito wa kuanzishwa uchunguzi wa jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar, akisisitiza kuwa wahusika wanapaswa kukabiliwa na mkono wa sheria na kubebeshwa dhima ya jinai hizo.

  • Wasiwasi wa wakimbizi Warohingya nchini Bangladesh kuhusu watoto wao

    Wasiwasi wa wakimbizi Warohingya nchini Bangladesh kuhusu watoto wao

    Jun 07, 2019 03:05

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR linafanya kila liwezalo kuhakikisha watoto wakimbizi Warohingya huko Bangladesh wanapata elimu wakati huu ambapo wazazi wao wana hofu kubwa juu ya mustakabali wa elimu ya watoto hao.

  • Wanajeshi wa Myanmar waliowaua Waislamu wa Rohingya waliachiwa kabla ya muda

    Wanajeshi wa Myanmar waliowaua Waislamu wa Rohingya waliachiwa kabla ya muda

    May 27, 2019 07:12

    Imebainika kuwa, wanajeshi wa Myanmar waliowaua Waislamu wa Rohingya katika mkoa wa Rakhine mwaka 2017, waliachiwa huru kabla ya kukamilisha vifungo vyao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS