Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rohingya

  • ICC: Waliohusika katika jinai dhidi ya Waislamu Warohingya kuchukuliwa hatua

    ICC: Waliohusika katika jinai dhidi ya Waislamu Warohingya kuchukuliwa hatua

    Mar 12, 2019 07:52

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imesema watu waliohusika katika jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar watakabiliwa na mkono wa sheria na kubebeshwa dhima ya jinai hizo.

  • Saudia yawafukuza Waislamu wa Rohingya waliokimbia mauaji Myanmar

    Saudia yawafukuza Waislamu wa Rohingya waliokimbia mauaji Myanmar

    Jan 08, 2019 15:16

    Saudi Arabia imewasafirishwa kwa nguvu hadi nchini Bangladesh makumi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliotorokea nchini humo baada ya kushadidi mauaji na mashambulizi dhidi yao katika nchi yao ya Myanmar.

  • Maseneta wa Marekani waitaka serikali yao itambue hujuma dhidi ya Waislamu Warohingya kuwa ni mauaji ya kimbari

    Maseneta wa Marekani waitaka serikali yao itambue hujuma dhidi ya Waislamu Warohingya kuwa ni mauaji ya kimbari

    Dec 20, 2018 08:00

    Kundi la Maseneta nchini Marekani limemtaka Mike Pompeo, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo atambue hujuma zinazofanywa nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya kuwa ni mauaji ya kimbari.

  • Mynamar yawakamata Warohingya 106 wakielekea Malaysia

    Mynamar yawakamata Warohingya 106 wakielekea Malaysia

    Nov 16, 2018 16:41

    Maafisa wa Idara ya Uhamiaji wa Myanmar wamewatia nguvuni Waislamu 106 wa Rohingya ambao walikuwa safarini kuelekea Malaysia.

  • Bangladesh yatumia askari kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi Warohingya

    Bangladesh yatumia askari kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi Warohingya

    Nov 14, 2018 14:21

    Serikali ya Bangladesh imetuma maafisa usalama wakiwemo wanajeshi na askari polisi katika kambi za wakimbizi Waislamu wa Rohingya katika eneo la Cox wilayani Bazar, kusini mashariki mwa nchi kwa lengo la kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi hao na kuwarejesha Myanmar.

  • UN: Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa wakirejeshwa Myanmar

    UN: Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa wakirejeshwa Myanmar

    Nov 14, 2018 02:39

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Bangladesh kusimamisha mpango wake wa kuwarejesha kwa nguvu nchini Myanmar maelfu ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya akisisitiza kuwa maisha yao yatakuwa hatarini.

  • Australia yawewekea vikwazo makamanda wa jeshi la Myanmar

    Australia yawewekea vikwazo makamanda wa jeshi la Myanmar

    Oct 24, 2018 02:51

    Serikali ya Australia imetangaza kuwawekea vikwazo makamanda watano wa jeshi la Myanmar wanaotuhumiwa kuongoza mauaji na jinai dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

  • Warohingya: Bora tuuliwe India kuliko kurejeshwa Myanmar

    Warohingya: Bora tuuliwe India kuliko kurejeshwa Myanmar

    Oct 15, 2018 13:46

    Wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaoishi kambini nchini India wamesema afadhali wauawe wakiwa ndani ya nchi hiyo badala ya kurejeshwa nchini kwao Myanmar.

  • Hofu ya UN juu ya kufukuzwa India wakimbizi wa Rohingya

    Hofu ya UN juu ya kufukuzwa India wakimbizi wa Rohingya

    Oct 06, 2018 03:48

    Umoja wa Mataifa umeonesha kutiwa wasiwasi mkubwa na hatua ya India ya kuwafukuza wakimbizi Waislamu wa Rohingya na kuwarejesha nchini Myanmar.

  • Baada ya kimya cha muda mrefu Marekani yakiri, kumefanyika jina kubwa dhidi ya Waislamu, Myanmar

    Baada ya kimya cha muda mrefu Marekani yakiri, kumefanyika jina kubwa dhidi ya Waislamu, Myanmar

    Sep 26, 2018 04:07

    Baada ya kunyamaza kimya kwa muda mrefu mbele ya jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar, hatimaye Marekani imetoa ripoti ikisisitiza kuuwa jeshi la nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Asia limefanya jinai na uhalifu wa kupanga na ulioratibiwa dhidi ya jamii hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS