-
Amnesty International: Ni aibu kutoadhibiwa watenda jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Aug 26, 2018 02:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa jeshi la Myanmar linaendelea kufanya jinai dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na watenda jinai hizo wanakingiwa kifua, suala ambalo ni aibu na fedheha kwa jamii ya kimataifa.
-
Waislamu Warohingya waendelea kukumbwa na masaibu mwaka mmoja baada ya kuanza janga
Aug 25, 2018 06:55Mwaka mmoja tangu Waislamu wa jamii ya Rohingya waanze kukimbia jimbo la Rakhine nchini Myanmar kutokana na mateso na maangamizi ya umati dhidi yao, bado Umoja wa Mataifa unashindwa kufikisha ipasavyo misaada ya kibinadamu kwa waliosalia jimboni humo.
-
UNICEF yatoa indhari: Kizazi cha Waislamu Warohingya wa Myanmar kinakabiliwa na hatari ya kutoweka
Aug 23, 2018 15:00Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetahadharisha kuwa kizazi cha Waislamu Warohingya walioko nchini Myanmar na kwenye kambi za wakimbizi kwenye mpaka wa Bangladesh kinakabiliwa na hatari ya kutoweka.
-
UN: Myanmar ingali inawatendea jinai Waislamu wa Rohingya
Jul 19, 2018 15:37Wachunguzi wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamesema Waislamu wa jamii ya Rohingya wangali wanafanyiwa jinai za kuogofya na wanajeshi wa Myanmar wakishirikiana na Mabudha wenye misimamo ya kufurutu ada.
-
IHRC: Wahusika wa mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar wapandishwe kizimbani
Jul 12, 2018 04:10Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) inataka wakuu wa kijeshi na kiserikali nchini Myanmar wafikishwe katika mahakama ya kimataifa kujibu mashtaka ya kutenda jinai dhidi ya jamii ya Waislamu Warohingya.
-
Madaktari wathibitisha Waislamu Myanmar wametendewa jinai za kuogofya
Jul 06, 2018 13:33Jumuiya ya Madaktari Watetezi wa Haki za Binadamu (PHR) imethibitisha ripoti za jinai za kuogofya wanazotendewa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
-
Waislamu Warohingya 11,432 wamekimbia ukandamizaji Myanmar mwaka 2018
Jul 05, 2018 03:39Waislamu Warohingya wasiopungua 11,432 wamekimbia ukandamizaji wanaotendewa nchini Myanmar na kupata hifadhi katika nchi jirani ya Bangladesh.
-
Matarajio ya Bangladesh kwa China kuhusu wakimbizi Waislamu wa Myanmar
Jul 01, 2018 07:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ameeleza utayari wa serikali ya Myanmar kwa ajili ya kurejea nchini humo mamia ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya kutoka Bangladesh.
-
Kuna hatari mamilioni ya Waislamu India wakafikwa na maafa ya Waislamu wa Myanmar
Jun 01, 2018 00:53Zaidi ya watu milioni 7 wakiwemo wanawake milioni mbili na laki tisa walioolewa wametakiwa kuthibitisha uraia wao nchini India.
-
Jeshi la Myanmar lawekwa katika orodha nyeusi ya UN
Apr 14, 2018 07:06Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeliweka jeshi la Myanmar katika orodha nyeusi ya umoja huo, kutokana na jinai za ubakaji zilizofanywa na askari wa nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Rohingya.