Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu

    Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu

    May 28, 2020 02:23

    Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kujaribu kuingilia miamala ya kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyingine huru duniani.

  • Rais Rouhani: Bunge la Iran ni nembo ya demokrasia ya kidini

    Rais Rouhani: Bunge la Iran ni nembo ya demokrasia ya kidini

    May 27, 2020 17:03

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema bunge ni nembo ya demokrasia kote duniani, lakini ni nembo ya demokrasia ya kidini katika Jamhuri ya Kiislamu.

  • Rais wa Iran aidhinisha sheria ya kukabili jinai za Israel

    Rais wa Iran aidhinisha sheria ya kukabili jinai za Israel

    May 27, 2020 03:47

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameidhinisha kuwa sheria, muswada wa kukabiliana na uhasama na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.

  • Rouhani: Uswisi iwe na nafasi athirifu kuhusu hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani

    Rouhani: Uswisi iwe na nafasi athirifu kuhusu hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani

    May 26, 2020 11:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na Rais wa Uswisi na kusema: "Tehran inataraji kuwa Uswisi itakuwa na nafasi athirifu katika kukabiliana na ongezeko la vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na ubinadamu vya Marekani dhidi ya Iran."

  • Rais Rouhani alipongeza taifa la Lebanon kwa kuwadia sikukuu ya ushindi wa muqawama

    Rais Rouhani alipongeza taifa la Lebanon kwa kuwadia sikukuu ya ushindi wa muqawama

    May 25, 2020 03:57

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelipongeza taifa la Lebanon kwa mnasaba wa kuwadia sikukuu ya muqawama, yaani maadhimisho ya ushindi mkubwa na wa kujivunia wa wananchi wa Lebanon dhidi ya wavamizi wa nchi yao, yaani utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais Rouhani aitahadharisha Marekani kuhusu kutatiza meli za mafuta za Iran

    Rais Rouhani aitahadharisha Marekani kuhusu kutatiza meli za mafuta za Iran

    May 24, 2020 07:49

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria baadhi ya chokochoko za Marekani katika eneo la Bahari ya Caribbean na kusema: "Iwapo meli za mafuta za Iran zitakabliwa na tatizo lolote kutoka Marekani, basi Iran nayo itawaibulia matatizo."

  • Rais wa Iran awatumia salamu za Idul Fitr viongozi wa nchi za Kiislamu

    Rais wa Iran awatumia salamu za Idul Fitr viongozi wa nchi za Kiislamu

    May 24, 2020 04:21

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu kote duniani salamu za kheri na fanaka kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr.

  • Rouhani: Njama za uistikbari wa dunia dhidi ya taifa la Iran zilihitimishwa tarehe 3 Khordad

    Rouhani: Njama za uistikbari wa dunia dhidi ya taifa la Iran zilihitimishwa tarehe 3 Khordad

    May 23, 2020 08:12

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kuwa siku ya kukombolewa mji wa Khoram-shahr haijasahaulika na kuleza kuwa njama kuu ya uistikbari wa dunia, kimataifa na kieneo dhidi ya taifa la Iran ilihitimishwa tarehe Tatu mwezi Khordad.

  • Iran yatoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Pakistan iliyoua 97

    Iran yatoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Pakistan iliyoua 97

    May 23, 2020 07:54

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pole kwa serikali na raia wa Pakistan kufuatia ajali ya ndege ya abiria ya nchi hiyo iliyoua makumi ya watu.

  • "Siku ya Kimataifa ya Quds ni nembo ya uvumilivu, umoja na mshikamano wa Waislamu"

    May 22, 2020 03:17

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameielezea Siku ya Kimataifa ya Quds inayoadhimishwa hii leo kote duniani kama utamaduni mzuri na nembo ya uvumilivu, umoja na mshikamano wa Waislamu katika kuhami na kutetea thamani za Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS