Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Quds haitasahaulika na haitaendelea kubakia katika uvamizi wa madhalimu

    Rais Rouhani: Quds haitasahaulika na haitaendelea kubakia katika uvamizi wa madhalimu

    May 20, 2020 11:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kukaribia maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kusisitiza kuwa, Quds katu haitasahauliwa na haitaendelea kubakia katika uvamizi wa madhalimu.

  • Rouhani: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Rouhani: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    May 15, 2020 00:29

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha jinai dhidi ya binadamu, ukandamizaji na dhulma wanazofanyiwa Wapalestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais Rouhani: Utawala mbaya zaidi na muovu zaidi Marekani ndio ulioko madarakani

    Rais Rouhani: Utawala mbaya zaidi na muovu zaidi Marekani ndio ulioko madarakani

    May 13, 2020 13:41

    Rais Hassan Rouhani amesema, utawala mbaya zaidi na muovu zaidi Marekani ndio ulioko madarakani na akaongeza kuwa, serikali ya Marekani siku zote ni ya kigaidi lakini kiwango hiki hakijawahi kushuhudiwa.

  • Rouhani aitaka EU iishinikize Israel isitishe mashambulizi yake Syria

    Rouhani aitaka EU iishinikize Israel isitishe mashambulizi yake Syria

    May 07, 2020 08:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linataraji kuwa Umoja wa Ulaya utaushinikiza utawala haramu wa Israel ukomeshe mashambulizi yake dhidi ya Syria.

  • Rouhani: Iran haitakubali ukiukwaji wa azimio 2231

    Rouhani: Iran haitakubali ukiukwaji wa azimio 2231

    May 06, 2020 11:16

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran katu haitakubali ukiukwaji wowote wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Ameongeza kuwa: "Ni haki isiyopingika ya Iran kuwa, vikwazo vya silaha viondolewe dhidi yake hivi karibuni katika fremu ya azimio hilo."

  • Rais Rouhani: Iwapo Marekani ni mkweli kuhusu madai yake, isitishe vikwazo dhidi ya Iran

    Rais Rouhani: Iwapo Marekani ni mkweli kuhusu madai yake, isitishe vikwazo dhidi ya Iran

    May 06, 2020 04:15

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya Marekani kuwa iko tayari kuisadia Iran kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) na kusema: "Iwapo Wamarekani ni wakweli, njia pekee ni kuondoa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria dhidi ya Iran."

  • Rais Rouhani: Ushirikiano wa kimataifa unapaswa kuchukua nafasi ya mashinikizo dhidi ya mataifa

    Rais Rouhani: Ushirikiano wa kimataifa unapaswa kuchukua nafasi ya mashinikizo dhidi ya mataifa

    May 04, 2020 15:26

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ushirikiano wa pande mbili na wa kimataifa unapaswa kuchukua nafasi ya mashinikizo dhidi ya mataifa mengine kupitia ugaidi wa kiuchumi na vitisho vya kijeshi na hivyo kuandaa mazingira bora kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya kweli na vya pamoja.

  • Rais Rouhani: Kuenea corona kumeziweka chini ya alama ya kuuliza siasa za kimataifa

    Rais Rouhani: Kuenea corona kumeziweka chini ya alama ya kuuliza siasa za kimataifa

    May 03, 2020 11:53

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuenea kirusi cha corona kumeziweka chini ya alama ya kuuliza siasa za kimataifa na kusisitiza kuwa, leo hii walimwengu wanasema bila ya kificho kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran si vya kibinadamu na wanavilaani.

  • Rais Rouhani aihutubu Marekani; Hii ni Ghuba ya Uajemi si 'Ghuba ya New York'

    Rais Rouhani aihutubu Marekani; Hii ni Ghuba ya Uajemi si 'Ghuba ya New York'

    Apr 29, 2020 12:47

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu Wamarekani na kuwaambia wanapaswa kutambua kuwa Ghuba ya Uajemi ni njia muhimu ya baharini na eneo la kistratajia linalolindwa na litakaloendelea kulindwa kwa nguvu zote na taifa zima la Iran.

  • Marais wa Iran na Afrika Kusini wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi mbili

    Marais wa Iran na Afrika Kusini wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi mbili

    Apr 28, 2020 10:51

    Marais wa Iran na Afrika Kusini wamesisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja za biashara na uchumi na pia wakasema kuna udharura wa kubadlishana uzoefu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona sambamba kuboresha ushirikiano wa kiafya na kisayansi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS