Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo

    Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo

    Apr 28, 2020 07:20

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi imevuruga usalama na uthabiti katika eneo hili.

  • Maeneo ya ibada kufunguliwa karibuni hivi nchini Iran baada ya kufungwa kwa corona

    Maeneo ya ibada kufunguliwa karibuni hivi nchini Iran baada ya kufungwa kwa corona

    Apr 26, 2020 11:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia jinsi maeneo tofauti humu nchini yalivyogawanywa kwa vielelezo tofauti kulingana na maambukizi ya corona ambayo ni maeneo meupe, ya njano na mekundu na kusema kuwa, karibuni hivi maeneo ya ibada kama ya Sala za Ijumaa na jamaa yatafunguliwa katika katika maeneo meupe.

  • Marais Rouhani na Museveni wataka kuimarishwa uhusiano wa Iran na Uganda

    Marais Rouhani na Museveni wataka kuimarishwa uhusiano wa Iran na Uganda

    Apr 22, 2020 13:08

    Rais Hassan Rouhani ameutaja uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uganda kuwa mzuri na uliojengeka katika misingi ya heshima, na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuboresha uhusiano wa pande mbili na nchi hiyo ya Afrika Mashariki katika nyuga zote.

  • Iran ina uwezo wa kutuma kifaa cha kupima Corona nje ya nchi

    Iran ina uwezo wa kutuma kifaa cha kupima Corona nje ya nchi

    Apr 22, 2020 12:55

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili lina uwezo wa kutuma nje ya nchi kifaa cha kupima virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Covid-19.

  • Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani

    Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani

    Apr 22, 2020 03:14

    Rais Hassan Rouhani amesema: Katika mazingira maalumu ya hivi sasa yanayotokana na kuenea virusi vya corona duniani, nchi zote zinapaswa kuwa bega kwa bega katika kupambana na kirusi hicho angamizi na kutangaza kwa uwazi kabisa misimamo yao kuhusiana na hatua za kiuadui za Marekani.

  • Iran: Tunatumia mbinu mpya kutambua waathiriwa wa corona

    Iran: Tunatumia mbinu mpya kutambua waathiriwa wa corona

    Apr 19, 2020 15:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vipimo vinavyofanywa vya proteini mpya ijulikanayo kiutalamu kwa jina la "fungomwili" au antibody ni miongoni mwa mbinu mpya zinazotumiwa na Iran kutambua wagonjwa wa COVID-19.

  • Rouhani: Ubeberu wa Marekani ni kirusi hatari kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona

    Rouhani: Ubeberu wa Marekani ni kirusi hatari kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona

    Apr 14, 2020 02:32

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Venezuela na kusema ubeberu wa Marekani ni hatari zaidi kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona. Rais wa Iran ameongeza kuwa kujitakia makuu na kutumia mabavu watawala wa Marekani ni mambo ambayo yanayashinikiza mataifa yanayojitegemea na yanayotaka kuwa na uhuru kamili.

  • Rais Rouhani: Kuzinduliwa INSTEX ni hatua chanya, lakini haitoshi

    Rais Rouhani: Kuzinduliwa INSTEX ni hatua chanya, lakini haitoshi

    Apr 07, 2020 03:31

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kuzinduliwa mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX) na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni chanya, lakini haitoshi kukidhi maslahi yote ya Iran.

  • Rais Rouhani: Kazi zenye hatari ndogo ya maambukizi zinaweza kuanza Iran sambamba na kulinda sheria za afya

    Rais Rouhani: Kazi zenye hatari ndogo ya maambukizi zinaweza kuanza Iran sambamba na kulinda sheria za afya

    Apr 05, 2020 11:48

    Rais Hassan Rouhani was Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kazi za kiuchumi na za kati zisizo na hatari ya maambukizi ya virusi vya corona zinaweza kuanza tena hapa nchini tarehe 11 mwezi huu wa Aprili sambamba na kuchunga na kuheshumu protokali zote za afya.

  • Rouhani: Marekani imepoteza fursa ya kihistroria ya kusahihisha makosa yake

    Rouhani: Marekani imepoteza fursa ya kihistroria ya kusahihisha makosa yake

    Apr 02, 2020 02:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imepoteza fursa ya kipekee na ya kihistoria ya kusahihisha makosa yake kwa kukataa kulindolea taifa hili vikwazo haramu wakati huu ambapo Iran inakabiliana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwana virusi vya corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS