-
Rouhani: Mpango wa kufikisha maji ya Ghuba ya Uajami hadi mashariki mwa Iran ni mradi adhimu
Mar 14, 2021 11:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mpango wa kuyahamisha maji ya Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman na kuyapeleka hadi katika maeneo ya kati na mashariki mwa Iran ni mradi adhimu na wa kihistoria wenye lengo la kutela mlingano katika ustawi wa nchi.
-
Rais Rouhani: Njia pekee bora ya kuyakurubisha pamoja mataifa ya dunia ni kujiimarisha kielimu na kiutamaduni
Mar 10, 2021 02:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia pekee ya kudumu kwa ajili ya kuyafanya mataifa ya dunia yakurubiane zaidi, ni kujiimarisha kielimu na kiutamaduni.
-
Rais Rouhani: Mapatano ya JCPOA hayalindiki kwa kaulimbiu na maneno, yanahitaji vitendo
Mar 03, 2021 13:50Rais Hassan Rouhani amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasubiri kuona hatua za kivitendo kuhusiana na makubaliano ya nyuklia na akasisitiza kuwa makubaliano hayo ya JCPOA hayalindiki kwa kaulimbiu na maneno matupu.
-
Rouhani: Marekani haina budi ila kuipigia Iran magoti
Mar 02, 2021 02:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kukiri serikali ya Marekani kuhusu kufeli mashinikizo na vikwazo vyake dhidi ya Iran ni mafanikio makubwa kwa taifa la Iran.
-
Rouhani: Haiyumkiniki kujumuisha maudhui nyingine katika JCPOA
Feb 18, 2021 03:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ni jambo lisilowezekana kuarifisha na kujumuisha maudhui nyinginezo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Rais Rouhani: Iran haina mpango wa kutumia silaha za maangamizi ya umati
Feb 17, 2021 08:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii haijawahi kuwa na mpango wa kumiliki silaha za nyuklia wala kuzitumia.
-
Rouhani: Kuielewa Qurani Tukufu, ndio ufunguo wa kuongoka vijana
Feb 13, 2021 11:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuyaelewa mafundisho sahihi ya Qurani Tukufu ndio ufunguo wa kuongoka katika njia iliyonyooka tabaka la vijana.
-
Rouhani: Iran haijaona nia njema ya utawala mpya wa Marekani
Feb 11, 2021 12:29Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema taifa hili halijashuhudia nia njema wala mabadiliko ya kivitendo ya sera za Marekani mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rouhani: Kusimama kidete taifa kubwa la Iran kulipelekea Trump aangushwe
Feb 10, 2021 13:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kusimama kidete wanachi wa Iran na tadbiri ya serikali ni mambo ambayo yalipelekea serikali iliyopita ya Marekani kushindwa katika sera za vikwazo na mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran."
-
Rais Rouhani: Iran itaanza kutoa chanjo ya corona baada ya wiki mbili
Feb 02, 2021 12:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema chanjo ya corona au COVID-19 nchini itaanza kutolewa baada ya wiki tatu.