Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • "Sera kuu ya Iran ni kupambana na ugaidi, kutekeleza JCPOA na kuimarisha uhusiano na EU"

    Oct 04, 2017 01:09

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inatoa kipaumbele kwa kadhia ya kupambana na ugaidi pamoja na kudumisha makubaliano ya kihistoria ya nyuklia yanayojulikana kama JCPOA.

  • Rouhani: Mabadiliko yoyote ya mipaka yanahatarisha usalama na uthabiti M/Kati

    Rouhani: Mabadiliko yoyote ya mipaka yanahatarisha usalama na uthabiti M/Kati

    Oct 03, 2017 04:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kuimarishwa serikali kuu za Iraq na Syria na kufafanua kuwa, mabadiliko yoyote ya mipaka ya kijiografia wakati huu yatasababisha ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo lote la Mashariki ya Kati.

  • Maadhimisho ya Wiki ya Kujihami Kutakatifu Iran yaanza kwa hotuba ya Rouhani

    Maadhimisho ya Wiki ya Kujihami Kutakatifu Iran yaanza kwa hotuba ya Rouhani

    Sep 22, 2017 04:40

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema hakuna chochote kinachoweza kuizuia Jamhuri ya Kiislamu kuendelea kuimarisha uwezo wake wa makombora na mifumo ya kiulinzi.

  • Rais Rouhani: Misimamo ya Iran katika eneo na kuhusu JCPOA inaafikiwa na nchi zote

    Rais Rouhani: Misimamo ya Iran katika eneo na kuhusu JCPOA inaafikiwa na nchi zote

    Sep 21, 2017 11:10

    Rais Hassan Rouhani amesema, mkutano wa mwaka huu wa Umoja wa Mataifa unaonyesha kuwa misimamo ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati, kuhusu JCPOA na kuhusiana na hatua zilizopigwa katika uhusiano wa kiuchumi wa Iran na dunia inaafikiwa na nchi zote.

  • Rouhani: Aliyeanza kukiuka JCPOA amechagua njia ya kutengwa; tunamsubiri Trump awaombe radhi wananchi wa Iran

    Rouhani: Aliyeanza kukiuka JCPOA amechagua njia ya kutengwa; tunamsubiri Trump awaombe radhi wananchi wa Iran

    Sep 21, 2017 00:12

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa makubaliano ya JCPOA si makubaliano ya pande mbili na kwamba nchi yoyote itakayoanza kukiuka makubaliano hayo na kukiuka ahadi zake itakuwa imechagua njia ya kutengwa.

  • Watu milioni 40 wanaishi utumwani kote dunia, wengi wako Afrika

    Watu milioni 40 wanaishi utumwani kote dunia, wengi wako Afrika

    Sep 19, 2017 23:35

    Uchunguzi mpya uliofanyika kote duniani umeonesha kuwa, watu zaidi ya milioni 40 wanaishi katika utumwa katika maeneo mbalimbali ya dunia hususan barani Afrika.

  • Rais wa Ufaransa, Mkuu wa Sera za Kigeni EU watetea mapatano ya nyuklia ya Iran

    Rais wa Ufaransa, Mkuu wa Sera za Kigeni EU watetea mapatano ya nyuklia ya Iran

    Sep 19, 2017 23:24

    Rais wa Ufaransa amesema nchi yake itatetea mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita duniani katika vikao vya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linalokutana mjini New York.

  • Rais Rouhani ataka serikali ya Myanmar isitishe mauaji ya kimbari ya Waislamu

    Rais Rouhani ataka serikali ya Myanmar isitishe mauaji ya kimbari ya Waislamu

    Sep 19, 2017 11:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hali ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ni ya kusikitisha huku akisisitiza udharura wa kuishinikiza serikali ya Myanmar ili isitishe mauaji ya kimbari na ukandamizaji dhidi ya Waislamu Warohingya.

  • Rais Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa atakayekiuka haki ya mapatano ya JCPOA

    Rais Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa atakayekiuka haki ya mapatano ya JCPOA

    Sep 18, 2017 03:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitoanza kukiuka kwa aina yoyote makubaliano ya kimataifa, lakini ikiwa upande wa pili umekusudia kukiuka haki ya raia wa Iran, basi Tehran itatoa jibu kali katika uwanja huo.

  • Rais Rouhani wa Iran aelekea New York katika mkutano wa UN

    Rais Rouhani wa Iran aelekea New York katika mkutano wa UN

    Sep 17, 2017 03:21

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni kwa maslahi ya amani na uthabiti sio tu kwa eneo hili la Mashariki ya Kati bali kwa dunia nzima.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS