-
Rais Rouhani: Matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo ya Afghanistan ni ya kutatuliwa kieneo
Sep 12, 2017 00:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo yale yanayoikabili Afghanistan yanaweza kupatiwa ufumbuzi kieneo na kwamba, katu matatizo hayo hayawezi kutatuliwa na maajinabi na madola kutoka nje ya eneo hili.
-
Rais Rouhani: Iran iko tayari kushirikiana kisayansi na nchi za Kiislamu
Sep 10, 2017 10:10Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitizia ulazima wa umoja na ushirikiano wa nchi za Waislamu ili kuondoa machafuko duniani na kupatikane amani ya kudumu.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwepo amani Mashariki ya Kati, Peninsula ya Korea na Asia
Sep 06, 2017 11:42Rais Hassan Rouhani amesema amani ya bara la Asia hususan Peninsula ya Korea na eneo la Mashariki ya Kati vina umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Iran imekusudia kuimarisha uhusiano wa pande zote na Afrika Kusini
Sep 02, 2017 10:45Rais Hassan Rouhani amesema Iran imekusudia kuimarisha uhusiano wa pande zote na nchi za Kiafrika hususan Afrika Kusini.
-
Rais Rouhani atoa mkono wa Idil Adh'ha kwa viongozi wa nchi za Waislamu
Sep 01, 2017 00:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametumia ujumbe tofauti kwa viongozi wa nchi za Kiislamu akiwapongeza kwa kuwadia sikukuu kubwa ya Idul Adh'ha.
-
Rouhani: Iran inatumia nguvu zake kwa ajili ya kujihami
Aug 30, 2017 10:56Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni nchi kubwa na yenye nguvu na uwezo mkubwa na kwamba inatumia uwezo huo kwa ajili ya kujihami.
-
Rais Rouhani: Daesh na waungaji mkono wa ugaidi, ni dhihirisho la fikra mgando na unafiki wa zama hizi
Aug 17, 2017 23:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha kwamba, genge la Daesh (ISIS) na waungaji mkono wa ugaidi, ni dhihirisho la fikra mgando na unafiki uliochupa mpaka katika zama hizi.
-
Rouhani: Marekani ikituwekea vikwazo vipya, tutatumia masaa kujiondoa JCPOA
Aug 15, 2017 03:31Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatumia masaa machache kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Vienna, iwapo Marekani itathubutu kuliwekea taifa hili vikwazo vipya.
-
Marais wa Iran na Russia wafanya mazungumzo ya simu kujadili masuala ya eneo
Aug 14, 2017 22:01Marais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Vladimir Putin wa Russia wamesisitizia ulazima wa kuendelezwa mashauriano na kuwepo mtazamo wa pamoja kati ya Tehran na Moscow kwa ajili ya kutatua matatizo ya kieneo.
-
Rais Rouhani: Makubaliano ya JCPOA ni kwa maslahi ya Iran, Mashariki ya Kati na ulimwengu
Aug 13, 2017 09:03Rais Hassan Rouhani amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni kwa maslahi ya Iran, Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa ujumla na kwamba, kila atayetaka kuyadhuru makubaliano haya atakuwa amejidhuru yeye na nchi yake.