Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Iran inakaribisha kustawisha uhusiano na Umoja wa Ulaya

    Rais Rouhani: Iran inakaribisha kustawisha uhusiano na Umoja wa Ulaya

    Dec 31, 2016 23:34

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran inakaribisha kwa mikono miwili ushirikiano katika nyuga zote na Umoja wa Ulaya ikiwemo nchi ya Romania.

  • Rais Rouhani: Iran inakaribisha kwa mikono miwili usitishaji vita nchini Syria

    Rais Rouhani: Iran inakaribisha kwa mikono miwili usitishaji vita nchini Syria

    Dec 31, 2016 13:54

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inakaribisha kwa mikono miwili usitishaji vita nchini Syria na kusisitiza kwamba, kuna haja ya kuwa macho ili usitishaji vita huo usitumiwe kama fursa ya kujiimarisha makundi ya kigaidi.

  • Rouhani: Hamasa ya Tisa Dei; ni mapenzi ya wananchi wa Iran kwa utawala wa Faqihi Mtawala na Mfumo wa Kiislamu

    Rouhani: Hamasa ya Tisa Dei; ni mapenzi ya wananchi wa Iran kwa utawala wa Faqihi Mtawala na Mfumo wa Kiislamu

    Dec 28, 2016 10:56

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja hamasa ya tarehe Tisa mwezi Dei kuwa dhihirisho la ishqi na mapenzi ya wananchi wa Iran kwa utawala wa Faqihi Mtawala na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Rais Rouhani atuma salamu za Krismasi kwa Papa Francis na Wakristo wote duniani

    Rais Rouhani atuma salamu za Krismasi kwa Papa Francis na Wakristo wote duniani

    Dec 25, 2016 04:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa salamu za kheri na fanaka kwa viongozi wa nchi za Wakristo duniani kwa mnasaba wa kuwadia Krismami, siku ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa Masih AS (Yesu).

  • Rais Rouhani: Kuwa na uhusiano wa karibu na majirani ni misingi ya sera za nje za Iran

    Rais Rouhani: Kuwa na uhusiano wa karibu na majirani ni misingi ya sera za nje za Iran

    Dec 23, 2016 23:38

    Rais Hassan Rouhani amesema moja ya misingi ya sera za nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa na uhusiano wa karibu na majirani hususan nchi za Asia ya Katina eneo la Kaukasia.

  • Rais Rouhani awasili Bishkek baada ya kukamilisha safari yake Kazakhstan

    Rais Rouhani awasili Bishkek baada ya kukamilisha safari yake Kazakhstan

    Dec 22, 2016 13:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alasiri ya leo amewasili katika mji mkuu wa Kyrgyzstan, Bishkek baada ya kukamilisha ziara yake katika nchi jirani ya Kazakhstan.

  • Marais wa Iran na Armenia wasisitiza kutekelezwa hati za makubaliano ya ushirikiano

    Marais wa Iran na Armenia wasisitiza kutekelezwa hati za makubaliano ya ushirikiano

    Dec 22, 2016 00:06

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia wamesisitiza kuhusu azma ya nchi mbili ya kustawisha uhusiano wa pande mbili, wa kieneo na kimataifa.

  • Rais wa Iran aanza safari ya kieneo Asia ya Kati kwa kuelekea Yerevan, Armenia

    Rais wa Iran aanza safari ya kieneo Asia ya Kati kwa kuelekea Yerevan, Armenia

    Dec 21, 2016 03:28

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameondoka mjini Tehran na kuelekea Yerevan mji mkuu wa Armenia ikiwa ni kituo chake cha kwanza cha safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za eneo la Asia ya Kati.

  • Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa Iran na Russia katika kuwasaidia wananchi wa Syria

    Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa Iran na Russia katika kuwasaidia wananchi wa Syria

    Dec 20, 2016 00:43

    Marais wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuwasaidia wananchi wa Syria.

  • Rais Rouhani atuma salamu za pongezi kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume SAW

    Rais Rouhani atuma salamu za pongezi kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume SAW

    Dec 17, 2016 00:54

    Rais Hassan Rouhani ametuma salamu za mkono wa pongezi, heri na baraka kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Mtume Mtukufu, Nabii Muhammad Al-Mustafa SAW.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS