-
Rais Rouhani awaasa Waislamu waungane dhidi ya njama za maadui
Dec 15, 2016 11:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka Waislamu wote duniani waungane na kuimarisha umoja na mshikamano wao dhidi ya njama za maadui wanaotaka kuvunja umoja wa Waislamu kwa kuibua uhasama na mifarakano ya kimadhehebu.
-
Iran na Indonesia kuimarisha usalama katika ulimwengu wa Kiislamu
Dec 14, 2016 10:51Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Indonesia zina nafasi ya kipekee ya kuimarisha usalama katika eneo na ulimwengu wa Kiislamu kwa ujumla.
-
Rais Rouhani amlaki rasmi Rais wa Indonesia
Dec 14, 2016 04:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemlaki rasmi Rais wa Indonesia katika Ikulu ya Saad Abad hapa Tehran.
-
Rais Rouhani asisitiza mapambano ya kurejesha haki za Wapalestina kutoka kwa Wazayuni
Dec 14, 2016 00:56Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema leo hii maudhui ya Palestina na ukombozi wa Quds Tukufu ni takwa la Waislamu wote duniani.
-
Rais Rouhani atoa agizo la kuundwa vifaa endeshi vya nyuklia kufuatia kukiukwa JCPOA
Dec 13, 2016 13:14Rais Hassan Rouhani ametoa maagizo maalumu ya utekelezaji kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki (AEOI) kutokana na upuuzaji, uzembeaji na ukiukaji wa makubaliano ya nyuklia uliofanywa na Marekani.
-
Rais Rouhani: Jibu la Iran kwa ukiukaji wa JCPOA litakuwa kali
Dec 06, 2016 12:22Rais Hassan Rouhani amesisitiza kuwa Iran haitairuhusu Marekani ikiuke au iichane hati ya makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Rais Hassan Rouhani: Muswada wa Bunge la Marekani ni ukiukaji wa JCPOA
Dec 04, 2016 11:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iran litachukua hatua madhubuti na za kivitendo mkabala na uvunjaji ahadi, kigugumizi na ucheleweshaji wa aina yoyote ile katika kutekeleza mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Rais Rouhani asisitiza udharura wa nchi za kundi la 5+1 kulinda makubaliano ya JCPOA
Dec 03, 2016 10:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa nchi zote zinazounda kundi la 5+1 kufanya juhudi za kulinda matunda ya makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Rais Rouhani: Iran imefanikiwa kujiwekea akiba ya asilimia 20 ya fedha za kigeni za pato la mafuta
Dec 01, 2016 12:05Rais Hassan Rouhani amesema licha ya njama, matatizo yote yaliyoikabili pamoja na kushuka bei ya mafuta katika soko la dunia, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutenga asilimia 20 ya pato la mafuta na kuongeza kwenye akiba yake ya fedha za kigeni.
-
Rais Rouhani: Kuhuisha njia ya mashahidi ni jukumu la watu wote
Nov 28, 2016 00:55Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaenzi mashahidi wa mlipuko wa Hilla Iraq uliowalenga Mazuwwar na kusema kuwa, kuhuisha njia hii ya mashahidi na kuzisaidia familia zao ni jukumu la watu wote.