Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Mauaji ya wafanya ziara Iraq ni kitendo cha kinyama

    Rais Rouhani: Mauaji ya wafanya ziara Iraq ni kitendo cha kinyama

    Nov 25, 2016 04:41

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kitendo cha kinyama cha magaidi cha kuwaua shahidi Waislamu katika mji wa Hilla ambao walikwenda nchini Iraq kuzuru Haram ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein (as) kinaonesha upeo wa juu wa kubakia nyuma kwa wahalifu hao wenye nyoyo zilizopofuka.

  • Iran kuimarisha uhusiano wa kijeshi na China

    Iran kuimarisha uhusiano wa kijeshi na China

    Nov 15, 2016 23:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii inakaribisha kuimarishwa uhusiano na China katika nyanja zote ikiwemo sekta ya ulinzi.

  • Rais Rouhani: Uingiliaji wa kijeshi ni tishio kwa usalama wa dunia

    Rais Rouhani: Uingiliaji wa kijeshi ni tishio kwa usalama wa dunia

    Nov 07, 2016 11:37

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uingiliaji wa kijeshi katika masuala ya ndani ya nchi nyingine ni tishio kubwa kwa usalama na amani ya dunia.

  • Rais Rouhani asisitiza umoja kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Rais Rouhani asisitiza umoja kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Nov 05, 2016 04:09

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuimarishwa umoja na mshikamano kwa ajili ya kuimarisha usalama na amani ya Mashariki ya Kati.

  • Rouhani: Uingiliaji wa kigeni umeleta mgawanyiko Mashariki ya Kati

    Rouhani: Uingiliaji wa kigeni umeleta mgawanyiko Mashariki ya Kati

    Nov 02, 2016 01:07

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo yanayolikabili eneo hili la Mashariki ya Kati yamesababishwa na uingiliaji unaofanywa na nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi za eneo hilo.

  • Rais Rouhani ampongeza Aoun kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Lebanon

    Rais Rouhani ampongeza Aoun kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Lebanon

    Nov 01, 2016 00:05

    Rais Hassan Rouhani amempongeza Michel Aoun kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa Lebanon na kueleza matumaini yake kwamba katika kipindi hiki kipya uhusiano wa Iran na Lebanon utastawishwa zaidi ya ilivyokuwa katika siku za nyuma.

  • Rais Rouhani asisitiza kuarifishwa uwezo wa Iran katika nchi zingine duniani

    Rais Rouhani asisitiza kuarifishwa uwezo wa Iran katika nchi zingine duniani

    Oct 31, 2016 10:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa kuarifishwa uwezo wa Iran kwa ajili ya wawekezaji wa sekta binafsi kutoka nchi zingine duniani.

  • Rouhani: EU yawania kurejesha uhusiano na Iran baada ya JCPOA

    Rouhani: EU yawania kurejesha uhusiano na Iran baada ya JCPOA

    Oct 26, 2016 11:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Umoja wa Ulaya zipo mbioni kurejesha na kuimarisha uhusiano wao na Tehran, tokea yafikiwe mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika

    Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika "vita dhidi ya ugaidi"

    Oct 25, 2016 04:24

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu na kiistikbari yanawachezea shere walimwengu sambamba na kufanya maonyesho ya kisiasa katika kile wanachokitaja kuwa 'vita dhidi ya ugaidi.'

  • Rouhani: Utamaduni wa Ashura unaweza kuimarisha uthabiti Asia

    Rouhani: Utamaduni wa Ashura unaweza kuimarisha uthabiti Asia

    Oct 12, 2016 04:01

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo utamaduni wa kuadhimisha kumbukumbu ya Ashura, siku aliyouawa shahidi Imam Hussein AS, Mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW utafuatwa kwa dhati, usalama na uthabiti utarejea katika bara la Asia na ulimwengu wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS