-
Rais wa Iran awasili Thailand akiendelea na safari yake kusini mashariki mwa Asia
Oct 08, 2016 10:39Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amewasili Bangkok, mji mkuu wa Thailand akiendelea na safari yake ya kuzitembelea nchi kadhaa za eneo la kusini mashariki mwa Asia.
-
Rais Rouhani: Ulimwengu wa Kiislamu utakombolewa kwa misimamo ya wastani
Oct 08, 2016 03:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Ulimwengu wa Kiislamu utakombolewa tu kwa misimamo ya wastani na kupambana na utumiaji mabavu.
-
Safari ya Rais Rouhani Kuala Lumpur; upeo mpya katika uhusiano wa Iran na Malaysia
Oct 07, 2016 12:29Rais Hassan Rouhani leo asubuhi aliwasili Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia akiendelea na safari yake ya kuzitembelea nchi za eneo la kusini mashariki mwa Asia.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na Malaysia
Oct 07, 2016 12:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kustawishwa na kuimarishwa zaidi uhusiano kati ya Iran na Malaysia.
-
Rais Rouhani alakiwa rasmi Vietnam na Rais wa nchi hiyo
Oct 06, 2016 03:56Rais wa Vietnam amemlaki rasmi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Hanoi mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Iran inapambana na magaidi kwa nguvu kubwa
Sep 28, 2016 10:21Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapambana na ugaidi kwa nguvu kubwa katika eneo na dunia nzima kwa jumla.
-
Rais Rouhani asisitiza kuongezwa kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Kenya
Sep 25, 2016 13:04Rais Hassan Rouhani amesema kustawisha na kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika ni miongoni mwa misingi ya siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Utendaji wa Marekani ni kinyume cha mapatano ya nyuklia
Sep 23, 2016 10:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, tume ya pamoja ya kuratibu mapatano ya nyuklia, maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), imesema utendaji wa Marekani ni kinyume cha mapatano hayo.
-
Rais Rouhani ahutubia Mkutano wa 71 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Sep 22, 2016 13:24Rais Hassan Rouhani amesema muelekeo mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa na ushirikiano chanya na majirani zake ili kujenga mfumo endelevu wa kudhamini usalama wa pamoja na kusaidia ustawi wa nchi za eneo.
-
Rais Rouhani: Hakuna nchi yoyote inayoweza kuyavuruga makubaliano ya nyuklia
Sep 22, 2016 10:51Rais Hassan Rouhani amesema hakuna nchi au rais wa nchi yoyote anayeweza kuyavuruga makubaliano ya nyuklia yaliyosainiwa baina ya Iran na nchi zinaounda kundi la 5+1 pamoja na Umoja wa Mataifa.