Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani akamilisha safari yake barani Ulaya

    Rais Rouhani akamilisha safari yake barani Ulaya

    Jan 28, 2016 23:41

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amerejea nchini usiku wa kuamkia leo baada ya kukamilisha safari ya siku kadhaa katika nchi za Italia na Ufaransa.

  • Rais Rouhani akagua gwaride la heshima Paris, Ufaransa

    Rais Rouhani akagua gwaride la heshima Paris, Ufaransa

    Jan 28, 2016 12:51

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekagua gwaride la heshima kando ya jengo la kihistoria la Illinois katika mji mkuu wa Ufaransa Paris.

  • Rais Rouhani akataa kuketi kwenye meza yenye pombe Ufaransa

    Rais Rouhani akataa kuketi kwenye meza yenye pombe Ufaransa

    Jan 28, 2016 04:56

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekataa kushiriki kwenye karamu ya chakula cha mchana iliyotayarishwa na mwenyeji wake wa Uafaransa, François Hollande baada ya ikulu ya Elysée kushikilia msimamo wake wa kuwepo mvinyo katika meza ya chakula iliyoyatarishwa kwa heshima ya Rais wa Iran.

  • Rais Rouhani awasili Paris akiwa katika ziara zake za Ulaya

    Rais Rouhani awasili Paris akiwa katika ziara zake za Ulaya

    Jan 27, 2016 12:59

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo alasiri kwa wakati wa Ufaransa amewasili Paris mji mkuu wa nchi hiyo akiwa katika marhala ya pili ya ziara zake za Ulaya.

  • Iran na Ufaransa katika ukingo wa kufunguliwa ukurasa mpya wa ushirikiano

    Iran na Ufaransa katika ukingo wa kufunguliwa ukurasa mpya wa ushirikiano

    Jan 26, 2016 11:41

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amekamilisha safari yake nchini Italia na kuelekea Ufaransa baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis.

  • Rais Rouhani akutana na Papa Francis Vatican

    Rais Rouhani akutana na Papa Francis Vatican

    Jan 26, 2016 11:31

    Rais Hassan Rohani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amekutana na kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwenye makao makuu ya kanisa hilo huko Vatican.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS