Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Mkutano wa viongozi wa BRICS na ukosoaji wa sera za Marekani

    Mkutano wa viongozi wa BRICS na ukosoaji wa sera za Marekani

    Jul 27, 2018 02:07

    Sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja za Marekani ambazo zimeshika kasi zaidi katika utawala wa Donald Trump zimekuwa kero kwa aghlabu ya mataifa yote huru na yanayojitawala duniani.

  • Marais Putin na Ramaphosa wajadili ushirikiano wa pande mbili

    Marais Putin na Ramaphosa wajadili ushirikiano wa pande mbili

    Jul 26, 2018 23:55

    Rais Vladimir Putin wa Russia na mwenzake wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wamekutana na kufanya mazungumzo pambizoni mwa mkutano wa kumi wa kundi la BRICS mjini Johannesburg Afrika Kusini.

  • Mashauriano ya Lavrov na Merkel kuhusu Syria

    Mashauriano ya Lavrov na Merkel kuhusu Syria

    Jul 25, 2018 22:33

    Tangu mwezi Disemba mwaka 2015 Russia ilituma majeshi katika nchi ya Syria kwa ajili ya kupambana na makundi ya kigaidi na vilevile kuisaidia serikali halali ya nchi hiyo.

  • Nchi, jumuiya na taasisi za kimataifa zapinga sheria ya

    Nchi, jumuiya na taasisi za kimataifa zapinga sheria ya "apartheid" huko Israel

    Jul 25, 2018 02:56

    Nchi na jumuiya mbalimbali za kimataifa zimeendelea kupaza sauti zao kupinga sheria iliyopasishwa na Bunge la utawala haramu wa Israel, (Knesset) inayoitambua Israel kuwa ni dola la Mayahudi pekee.

  • China na Russia zapinga takwa la Marekani la kutoiuzia mafuta Korea Kaskazini

    China na Russia zapinga takwa la Marekani la kutoiuzia mafuta Korea Kaskazini

    Jul 20, 2018 03:48

    Duru za habari zimearifu kwamba China na Russia zimetupilia mbali pendekezo la Marekani kwa ajili ya kuzuia uuzaji mafuta kwa Korea Kaskazini.

  • Trump: Vikwazo vya Russia havitaondolewa na hakuna muhula kuhusu mazungumzo na Pyongyang

    Trump: Vikwazo vya Russia havitaondolewa na hakuna muhula kuhusu mazungumzo na Pyongyang

    Jul 19, 2018 03:50

    Rais wa Marekani amesema katika mazungumzo na wabunge wa nchi hiyo huko White House kuwa hakuna uwezekano wa kufutwa vikwazo dhidi ya Moscow na kwamba vikwazo hivyo vitaendelea kuwepo licha ya kufanyika mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa Russia.

  • Russia: Kuna uwekezano Marekani ikaishambulia kijeshi Venezuela

    Russia: Kuna uwekezano Marekani ikaishambulia kijeshi Venezuela

    Jul 19, 2018 03:22

    Balozi wa Russia nchini Venezuela ameonyesha masikitiko yake kutokana na uwezekano wa Marekani kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.

  • Balozi wa Russia mjini Tehran: Uwepo wa Iran nchini Syria  ni wa kisheria

    Balozi wa Russia mjini Tehran: Uwepo wa Iran nchini Syria ni wa kisheria

    Jul 19, 2018 02:59

    Balozi wa Russia mjini Tehran, amesema kuwa uwepo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria ni wa kisheria na kwamba, kwa utashi wa Damascus, Iran itaendelea kuwepo nchini humo katika operesheni za kuwaangamiza magaidi.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa malengo ya Marekani Syria

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa malengo ya Marekani Syria

    Jul 15, 2018 02:36

    Baada ya kuibuka machafuko ya ndani nchini Syria mwaka 2011, Marekani na waitifaki wake walianza kuunga mkono makundi ya kigaidi yaliyoibua ghasia kwa lengo la kuipundua serikali halali ya nchi hiyo.

  • Velayati: Iran haiondoki Syria kwa vitisho vya Marekani

    Velayati: Iran haiondoki Syria kwa vitisho vya Marekani

    Jul 13, 2018 10:45

    Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesisitiza kuwa Iran na Russia zitaendelea kuwepo huko Syria na kwamba Iran haitaondoka nchini humo kwa vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS