-
Uhusiano wa Kistratijia wa Iran na Russia hauathiriwi na wengine
Jul 13, 2018 02:59Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa akiwa na ujumbe maalumu wa Kiongozi Muadhamu na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Puttin wa Russia ambapo wamejadili masuala mbali mbali ya uhusiano wa pande mbili.
-
Russia: Nchi za Ulaya kufanya biashara na Iran bila kutumia dola za Marekani
Jul 10, 2018 02:49Waziri wa Mambo wa Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesema nchi tatu kubwa za Umoja wa Ulaya na ambazo zilisaini makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zimeafikiana kuzindua uhusiano wa kibiashara na Iran pasina kutegemea matumizi ya dola za Marekani.
-
Ukosoaji mkali wa Madeleine Albright dhidi ya siasa za Trump kuhusu JCPOA
Jul 09, 2018 08:01Akizungumza hivi karibuni na gazeti la Ujerumani la Der Spiegel Madeleine Albright, Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani amekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo ya kujiondoka katika mapatano muhimu ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa hatua hiyo inakinzana moja kwa moja na malengo aliyoyatangaza mwenyewe.
-
Russia: Hatutajiondoa katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali
Jul 09, 2018 03:27Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Shirika Linalopiga Marufuku Matumizi ya Silaha za Kemikali amesisitiza kuwa Moscow haina mpango wa kujiondoa katika shirika hilo.
-
Russia yaitaka jamii ya kimataifa kutegua mabomu ya ardhini nchini Syria
Jul 08, 2018 03:36Russia imezitolea wito nchi mbalimbali ziisaidie Moscow kutegua mabomu ya ardhi katika maeneo yaliyokombolewa kutoka mikononi mwa magaidi huko Syria.
-
Ombi la Russia la kutaka kufutwa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Jul 05, 2018 05:22Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Jumatano akihutubia waandishi wa habari akiwa ameandamana na waziri mwenzake wa Jordan Ayman Safadi mjini Moscow, alitangaza kuwa, vikwazo vyote dhidi ya Syria vinapaswa kuondolewa na Wasyria wasaidiwe kurejea katika nchi yao.
-
Ombi la Russia la kutaka kufutwa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Jul 05, 2018 02:46Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Jumatano akihutubia waandishi wa habari akiwa ameandamana na waziri mwenzake wa Jordan Ayman Safadi mjini Moscow, alitangaza kuwa, vikwazo vyote dhidi ya Syria vinapaswa kuondolewa na Wasyria wasaidiwe kurejea katika nchi yao.
-
Uungaji mkono wa Russia kuhusu kuendelea nafasi chanya ya Iran nchini Syria
Jul 02, 2018 02:56Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Rais Vladmir Putin wa Russia katika masuala ya Mashariki ya Kati, ameitaja nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria kuwa chanya.
-
Russia: Pande zote ndani ya JCPOA zijawajibike kuyalinda makubaliano hayo
Jun 29, 2018 11:00Mwakilishi wa Russia katika Taasisi za Kimataifa mjini Vienna Austria amesema kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni muhimu sana na kwamba nchi zilizosalia katika makubaliano hayo zinapasa kuyalinda.
-
Russia yasisitiza kwa mara nyingine kuwa hakuna mbadala wa mapatano ya nyuklia ya Iran, JCPOA
Jun 29, 2018 00:16Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia kwa mara nyingine imesisitiza kuwa nchi hiyo inaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.