-
Rwanda na Russia zafanya mazungumzo kuhusu kuongeza ushirikiano wa kijeshi
Jun 04, 2018 22:36Mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Rwanda wamefanya mazungumzo kuhusu njia za kuongeza ushirikiano wao katika masuala ya kijeshi.
-
Russia yajibu vitisho vya Saudia dhidi ya Qatar, yasema Riyadh haiwezi kuzuia mauzo ya S 400 kwa Doha
Jun 04, 2018 00:01Naibu mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama katika bunge la Russia Alexei Kondratiev amesema kuwa msimamo wa Saudia wa kuizuia Qatar kununua ngao ya makombora ya S 400 iliyoundwa nchini humo, hautokwamisha uzalishaji wa makombora hayo ya anga kwa ajili ya serikali ya Doha.
-
Rubani wa Russia apatikana hai baada ya ndege yake kutunguliwa miaka 30 iliyopita Afghanistan
Jun 02, 2018 22:11Rubani wa Russia ambaye alitoweka na ikadhaniwa amefariki baada ya ndege yake kutunguliwa miaka 30 iliyopita wakati wa hujuma ya Jeshi la Shirikisho la Sovieti ya zamani nchini Afghanistan, amepatikana akiwa hai na anataka kurudi nyumbani.
-
Saudia yatishia kuishambulia kijeshi Qatar iwapo itanunua S-400 kutoka Russia
Jun 02, 2018 03:27Mfalme Salman Bin Abdul Aziz Aal-Saud wa Saudi Arabia ametishia kuwa Riyadh itachukua hatua za kijeshi dhidi ya Qatar iwapo serikali ya Doha itaendelea na mpango wake wa kununua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia: Lugha ya Vitisho Haitatui Matatizo ya Kimataifa
May 31, 2018 02:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema masuala ya nyuklia ya Iran, Korea Kaskazini na mgogoro wa Ukraine ni masuala ambayo hayawezi kutatuliwa kwa lugha ya vitisho.
-
IMF: Marekani iangalie upya sera zake dhidi ya Iran na Russia
May 26, 2018 03:13Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha Duniani IMF amemuasa Rais Donald Trump wa Marekani kuangalia upya sera zake za kushadidisha vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.
-
Sisitizo la Putin na Macron la kulindwa mapatano ya JCPOA
May 25, 2018 09:04Akizungumza mara tu baada ya kuonana na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza juu ya umuhimu wa kulindwa mapatano ya nyuklia kati ya Iran na nchi kubwa za dunia, mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kuusifu msimamo wa Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya kuhusiana na kudumishwa utekelezaji wa mapatano hayo.
-
Marekani, mkiukaji mkubwa wa mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia na makombora ya masafa ya wastani
May 23, 2018 08:03Mkuu wa kituo cha Kitaifa cha Kupunguza Hatari ya Nyuklia cha nchini Russia, Sergei Ryzhkov amesema kuwa, Marekani imeendelea kuifanyia majaribio mifumo ya ulinzi ya makombora na kadhalika kuzalisha makombora ambayo yalipigwa marufuku na mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia na kufuatilia kutengeneza silaha za masafa ya wastani.
-
Russia: Vikwazo vya Marekani haviwezi kuizuia Moscow kushirikiana na Iran
May 18, 2018 03:22Naibu Waziri Mkuu wa Russia amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haviwezi kuzuia ushirikiano kati ya Moscow na Tehran.
-
Russia na Ufaransa kuendelea kufungamana na JCPOA
May 15, 2018 22:11Siku chache baada ya Rais Donald Trump kutangaza kuiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kama JCPOA, kwa mara nyingine tena marais wa Russia na Ufaransa wamesisitizia umuhimu wa pande zilizosalia kuendelea kufungamana na mapatano hayo ya kimataifa.