-
Russia: Madai kuwa Jeshi la Syria limetumia silaha za kemikali ni bandia
Apr 08, 2018 09:34Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema madai kuwa eti Jeshi la Syria limetekeleza shambulizi la silaha za kemikali katika mji wa Douma ni bandia na si sahihi.
-
Nchi za Magharibi zakwamisha uchunguzi wa kadhia ya Skripal
Apr 06, 2018 02:59Mwakilishi wa Rusia katika Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) amesema kuwa pendekezo la pamoja la nchi za Russia, Iran na China la kuanzisha uchunguzi mpya kuhusu kadhai ya Sergei Skkripal katika shirika hilo limekataliwa.
-
NATO: Hatuko katika mashindano ya silaha mpya na Russia
Apr 05, 2018 03:37Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amesema kuwa muungano huo hauko katika mashindano ya silaha mpya na Russia.
-
Russia: Genge la Daesh (ISIS) linaunda ngome mpya nchini Afghanistan na Afrika
Apr 05, 2018 02:59Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linaanzisha kambi mpya katika maeneo mengine hususan Afghanistan, baada ya kupata pigo kali kutoka kwa muungano wa Iran na Russia wa kupambana na magaidi nchini Syria.
-
Mawaziri wa Ulinzi wa Iran na Russia wakutana, wajadili vita dhidi ya ugaidi
Apr 04, 2018 02:51Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami amesema Iran itaendelea kushirikiana na Russia katika vita dhidi ya ugaidi hadi pale magaidi watakapotimuliwa nchini Syria na eneo zima la Asia Magharibi.
-
Kukiri Ujerumani nafasi muhimu ya Russia ulimwenguni
Apr 02, 2018 09:32Heiko Maas, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, amesema kuwa nchi yake inakaribisha mazungumzo na Russia kwa ajili ya kukomesha mgogoro uliojitokeza hivi sasa baina ya Moscow na nchi za Magharibi zikiongozwa na Uingereza.
-
Russia: Nchi za Magharibi zinafanya njama ili mashindano ya Kombe la Dunia Russia yasifanyike
Apr 02, 2018 00:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema nchi za Magharibi zinafanya kila njia ili kuzuia mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yasifanyike nchini humo.
-
Ujerumani yasisitizia umuhimu wa kufanya mazungumzo na Russia
Apr 01, 2018 12:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kufanya mazungumzo na Russia.
-
Mgogoro wa Moscow na London wazidi kuwa mkubwa, Russia yawatahadharisha raia wake wasitembelee Uingereza
Mar 31, 2018 23:35Ubalozi wa Russia mjini London jana ulisema kuwa hisia kali dhidi ya Russia zimeongezeka nchini Uingereza hivyo inawataka raia wa Russia wasitembelee nchi hiyo kama hakuna dharura.
-
Jibu madhubuti la Russia kwa hatua ya nchi za Umoja wa Ulaya
Mar 31, 2018 10:14Serikali ya Russia ilitangaza jana Ijumaa kuwa itawafukuza wanadiplomasia 59 wa nchi 23 tofauti walioko nchini humo. Uamuzi huo wa Moscow umechukuliwa kujibu hatua ya nchi hizo ya kuwafukuza kwa mpigo wanadiplomasia wa Russia. Katika jibu na radiamali yake kwa hatua ya kufukuzwa wanadiplomasia wake, serikali ya Moscow imechukua uamuzi wa kuwafukuza wanadiplomasia 41 wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya.