-
Putin apata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa rais Russia
Mar 19, 2018 00:52Vladimir Putin amechaguliwa tena kuingoza Russia baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi uliofanyika jana.
-
Balozi wa Russia UN: Mada ya sumu iliyotumika dhidi ya Skripal imetengezwa kwenye maabara ya jeshi la Uingereza
Mar 18, 2018 13:00Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa Vladimir Chizhov amesema kuna uwezekano Uingereza imehusika kumpa sumu Sergei Skripal, jasusi wa zamani wa pande mbili mwenye asili ya Russia pamoja na binti yake.
-
Russia yajibu mapigo, yawatimua wanadiplomasia wa Uingereza
Mar 18, 2018 03:01Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imetangaza kuwa, wanadiplomasia 23 wa Uingereza wamefukuzwa nchini humo na kwamba wanapaswa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo katika kipindi cha wiki moja ijayo.
-
Uchaguzi wa rais waanza leo Russia, Putin anatazamiwa kushinda
Mar 17, 2018 23:49Uchaguzi wa rais wa Russia umenza mapema leo kote nchini humo huku Rais wa sasa wa nchi hiyo, Vladimir Putin akitazamiwa kupata ushindi mkubwa dhidi ya wapiznani wake.
-
Russia yajibu mapigo kwa kuwatimua wanadiplomasia 23 wa Uingereza
Mar 17, 2018 12:24Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa imewafukuza na kuwataka waondoke nchini humo wanadiplomasia 23 wa Uingereza kufuatia hatua kama hiyo iliyochukuliwa hivi karibuni na seriikali ya London dhidi ya wanadiplomasia wa Russia.
-
Nato: Hatutaki vita vipya baridi na Russia
Mar 17, 2018 00:19Jens Stoltenberg Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) alisema jana kuwa muungano huo hautaki kurudi katika uhasama wa vita baridi kati yake na Russia huku akibainisha uungaji mkono wake kwa msimamo mkali uliodhihirishwa na Uingereza kufuatia madai kwamba Moscow imempatia sumu jasusi wa zamani wa nchi hiyo huko Uingreza.
-
Taarifa ya nchi nne za Magharibi dhidi ya Russia
Mar 16, 2018 10:12Viongozi wa nchi za Uingereza, Ujerumani , Ufaransa na Marekani wametoa taarifa ya pamoja wakiibebesha Russia jukumu la kushambuliwa kwa mada za sumu Sergei Skripal, jasusi wa zamani wa Russia.
-
Kufukuzwa wanadiplomasia wa Russia nchini Uingereza na kushtadi mikwaruzano kati ya Moscow na London
Mar 15, 2018 07:39Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia jana Jumatano ilitoa taarifa na kubainisha kuwa uamuzi uliochukuliwa na Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza wa kuwafukuza nchini humo wanadiplomasia 23 wa Russia pamoja na hatua nyinginezo, ni kitendo cha uchochezi. Wakati huo huo Moscow imeashiria madai ya Uingereza ya kupewa sumu Sergei Sripal jasusi wa amani wa Russia nchini humo na hatua nyinginezo zilizochukuliwa na London na kutahadharisha kuwa: "Uingereza imechagua mkondo wa makabiliano."
-
Korea Kusini: Russia isitutupe mkono katika juhudi za kufungua mahusiano na Korea Kaskazini
Mar 14, 2018 04:23Serikali ya Korea Kusini, kupitia Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Taifa wa nchi hiyo ameitaka Russia kuiunga mkono Seoul kwa ajili ya kupatikana mahusiano mema na viongozi wa Korea Kaskazini.
-
Russia yaionya vikali Marekani kuhusu kushambulia tena Syria, yasema itajibu
Mar 13, 2018 12:22Maafisa wa ngazi za juu wa Russia wameionya vikali Marekani kuwa isithubutu kuishambulia upya Syria kwani matokeo ya chokochoko kama hivyo yatakabiliwa na jibu kali la Russia.