-
Russia: Marekani inahatarisha umoja wa ardhi yote ya Syria
Feb 13, 2018 13:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema Marekani inachukua hatua hatarishi na za upande mmoja ndani ya ardhi ya Syria zinazohatarisha umoja wa ardhi yote ya nchi hiyo.
-
Abbas na Putin wazungumzia nafasi ya US katika mgogoro wa Palestina
Feb 13, 2018 03:59Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemwambia Rais Vladimir Putin wa Russia kwamba nchi yake haitaikubali tena Marekani kuwa mpatanishi katika mgogoro wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Russia: Tutaendelea kushirikiana na Iran katika vita dhidi ya ugaidi nchini Syria
Feb 12, 2018 04:18Balozi wa Russia nchini Iran ameliambia shirika la habari la nchi yake la Itar-Tass kwamba ushirikiano wa Moscow na Tehran katika vita dhidi ya ugaidi utaendelea nchini Syria.
-
Ndege ya abiria ya Russia yaanguka na kuua watu wote 71 waliokuwamo ndani yake
Feb 11, 2018 11:39Ndege ya abiria ya Russia ya Shirika la Ndege ya Saratov Airlines imeanguka leo kusini mashariki mwa mji mkuu Moscow na kuna uwezekano mkubwa kwamba, watu wote 71 waliokuwamo ndani ya ndege hiyo wameaga dunia.
-
Russia: Suala la kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA halipo
Feb 10, 2018 04:14Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, suala la kuangalia upya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA halipo.
-
Russia: Mashambulio ya Marekani Syria ni jinai za kivita
Feb 09, 2018 03:31Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa ameyataja mashambulio ya anga ya Marekani katika mkoa wa Deir al Zor mashariki mwa Syria kuwa hayakubaliki na kwamba ni jinai za kivita.
-
Russia: Ushahidi unathibitisha Marekani inahamisha magaidi wa Daesh na kuwapeleka Afghanistan
Feb 09, 2018 01:04Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rassia katika Masuala ya Afghanistan amesema kuwa, Moscow ina ushahidi unaothibitisha kuwa, Marekani na Shirika la Kijeshi ya Nchi za Magharibi (NATO) zinahusika katika kuwahamisha magaidi wa Daesh kutoka Iraq na Syria na kuwapeleka Afghanistan.
-
Malengo ya safari ya Tillerson katika nchi za Amerika ya Latini
Feb 04, 2018 04:30Rex Tillerson Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amedai akiwa Mexico katika safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi za Amerika ya Latini kuwa Russia ina mpango wa kuingilia masuala ya uchaguzi ya nchi hiyo.
-
Russia yaponda madai ya Marekani dhidi ya Syria
Feb 03, 2018 23:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekadhibisha madai ya Marekani kwamba Syria imetengeneza na kutumia kizazi kipya cha silaha za kemikali na kusema madai hayo hayana msingi wowote.
-
Radiamali ya Russia kwa tuhuma za Waziri wa Ulinzi wa Uingereza
Jan 27, 2018 00:46Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, tuhuma zilizotolewa na Waziri wa Ulinzi wa Uingereza dhidi ya Russia ni za uongo.