-
Moscow: Pendekezo la Marekani la kufanya kikao kuhusu Iran ni mzaha
Jan 03, 2018 04:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelitaja pendekezo la Marekani la kutaka kuitishwa kikao maalumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na katika Kamati ya Haki za Binadamu kuhusu fujo za hivi karibuni nchini Iran kuwa ni mzaha.
-
Lavrov: Marekani inapasa kuondoka huko Syria
Dec 29, 2017 00:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana alisisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani wanapasa kuondoka huko Syria haraka iwezekanavyo baada ya kupata pigo magaidi nchini humo.
-
Lavrov: Mazungumzo ya kitaifa njia pekee ya utatuzi wa mgogoro wa kitaifa Syria
Dec 27, 2017 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, mazungumzo ya kitaifa kati ya serikali na wapinzani nchini Syria ndiyo njia pekee ya kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo.
-
Russia: Marekani imewapa magaidi kambi zake za kijeshi Syria
Dec 27, 2017 04:11Russia imesema Marekani inatoa mafunzo ya kijeshi katika kambi zake zilizoko Syria kwa magaidi wakiwemo mabaki ya wanachama wa kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS) waliofurushwa eneo la Raqqa.
-
Russia yatoa indhari: Kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa DAESH (ISIS) nchini Afghanistan
Dec 24, 2017 13:10Mjumbe maalumu wa rais wa Russia nchini Afghanistan ametoa indhari kuwa wanachama zaidi ya elfu kumi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh hivi sasa wako nchini Afghanistan na kwamba idadi yao inazidi kuongezeka kutokana na kubadilisha maskani yake kundi hilo baada ya kusambaratishwa katika nchi za Syria na Iraq.
-
Msimamo wa Russia kuhusu stratijia mpya ya usalama wa taifa ya Marekani
Dec 20, 2017 23:07Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imetoa taarifa ikiitaja stratijia mpya ya usalama wa taifa ya Marekani kuwa ni ya kihasama na kusisitiza kuwa, stratijia hiyo imetayarishwa kwa ajili ya kukabiliana na nchi mbalimbali na ina lengo la kulinda udhibiti wa Marekani duniani badala ya kutoa pendekezo la kuanzishwa uhusiano wa kushirikiana kati ya nchi tofauti.
-
Russia yapendekeza kwa Iran na Uturuki kuanzisha umoja wa nchi tatu wa kushirikiana katika masuala ya kimataifa
Dec 20, 2017 12:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema, kutokana na mafanikio uliopata muungano wa pande tatu za Iran, Russia na Uturuki katika kutatua masuala ya Syria, Moscow inapendekeza kuanzishwa umoja wa nchi hizo tatu kwa ajili ya kutatua mizozo na masuala katika upeo wa kimataifa.
-
Russia yaitahadharisha Marekani kuhusu kuwapatia silaha mpya magaidi huko Syria
Dec 17, 2017 11:04Russia imeitahadharisha Marekani kuhusu taathira za kuwapatia silaha mpya magaidi waliopo Syria.
-
UN yairuhusu Russia kupeleka silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati
Dec 16, 2017 22:05Russia imepata idhini ya Umoja wa Mataifa kupeleka silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa ajili ya kutumiwa na jeshi la nchi hiyo.
-
Russia yakadhibisha kumuunga mkono kamanda wa jeshi la Libya
Dec 16, 2017 00:16Balozi wa Russia nchini Libya amekadhibisha madai kwamba nchi yake inamuunga mkono kamanda wa jeshi la taifa la Libya na kuyataja madai hayo kuwa ya uongo.