-
Putini afichua ushirikiano wa Marekani na magaidi huko Syria
Dec 16, 2017 00:15Rais wa Russia amefichua kuwa wanajeshi wa Marekani walioko nchini Syria walikuwa wakiwaunga mkono na kuwapatia silaha magaidi na ndio waliokuwa wakikwamisha kusambaratishwa magaidi hao.
-
Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea
Dec 11, 2017 23:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameionya Marekani kwa siasa zake za kuchochea na kushadidisha mgogoro wa Rasi ya Korea.
-
Russia: Magaidi wameshaangamizwa kikamilifu Syria
Dec 07, 2017 03:57Mkuu wa Jeshi la Russia ametangaza kuwa, vikosi vyote vya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) vimeangamizwa nchini Syria na kwamba nchi hiyo ya Kiarabu imesafishwa kikamilifu na uwepo wa magaidi.
-
Mkutano wa kimataifa wa kupambana na madawa ya kulevya unafanyika Moscow Russia
Dec 04, 2017 11:25Mkutano wa kimataifa wa Mabunge wa kupambana na madawa ya kulevya umeanza leo katika mji mkuuu wa Russia Moscow na unahudhuriwa na wawakilishi wa Mabunge kutokana nchi mbalimbali ulimwenguni.
-
Larijani awasili Moscow kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Mihadarati
Dec 03, 2017 23:09Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewasili Moscow mji mkuu wa Russia akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Mihadarati utakaojadili suala la vita dhidi ya madawa ya kulevya.
-
Mufti Mkuu wa Russia ataka kupelekwa misaada ya kibinadamu Syria
Dec 03, 2017 23:08Mufti Mkuu wa Russia amezitolea wito nchi za Kiarabu zitume misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wananchi wa Syria.
-
Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi
Dec 01, 2017 03:58Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano baina ya nchi hii na Russia katika vita dhidi ya ugaidi ni nembo ya aina yake na mfano wa kuigwa kote duniani.
-
Rais Putin ataka kuangamizwa kikamilifu silaha za kemikali duniani
Nov 27, 2017 23:10Rais wa Russia ameitaka jamii ya kimataifa ifanye juhudi za kuangamiza kikamilifu silaha za kemikali duniani.
-
Sudan katika jitihada za kustawisha uhusiano wake na Russia
Nov 27, 2017 04:42Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan ambaye alikuwa safarini mjini Moscow ameitaka Russia kuilinda Khartoum mbele ya uingiliaji kati wa Marekani nchini Sudan.
-
Al Bashir: Marekani ina mpango wa kuigawa Sudan
Nov 25, 2017 12:44Rais Omar al Bashir wa Sudan amesema kuwa mashinikizo na njama za Marekani ndivyo vilivyopelekea kugawanywa Sudan katika nchi mbili na kwamba Washington ina mpango wa kuigawa zaidi Sudan katika nchi tano tofauti.