Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Magaidi wameshaangamizwa kikamilifu Syria

    Russia: Magaidi wameshaangamizwa kikamilifu Syria

    Dec 07, 2017 03:57

    Mkuu wa Jeshi la Russia ametangaza kuwa, vikosi vyote vya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) vimeangamizwa nchini Syria na kwamba nchi hiyo ya Kiarabu imesafishwa kikamilifu na uwepo wa magaidi.

  • Mkutano wa kimataifa  wa kupambana na madawa ya kulevya unafanyika Moscow Russia

    Mkutano wa kimataifa wa kupambana na madawa ya kulevya unafanyika Moscow Russia

    Dec 04, 2017 11:25

    Mkutano wa kimataifa wa Mabunge wa kupambana na madawa ya kulevya umeanza leo katika mji mkuuu wa Russia Moscow na unahudhuriwa na wawakilishi wa Mabunge kutokana nchi mbalimbali ulimwenguni.

  • Larijani awasili Moscow kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Mihadarati

    Larijani awasili Moscow kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Mihadarati

    Dec 03, 2017 23:09

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewasili Moscow mji mkuu wa Russia akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Mihadarati utakaojadili suala la vita dhidi ya madawa ya kulevya.

  • Mufti Mkuu wa Russia ataka kupelekwa misaada ya kibinadamu Syria

    Mufti Mkuu wa Russia ataka kupelekwa misaada ya kibinadamu Syria

    Dec 03, 2017 23:08

    Mufti Mkuu wa Russia amezitolea wito nchi za Kiarabu zitume misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wananchi wa Syria.

  • Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi

    Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi

    Dec 01, 2017 03:58

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano baina ya nchi hii na Russia katika vita dhidi ya ugaidi ni nembo ya aina yake na mfano wa kuigwa kote duniani.

  • Rais Putin ataka kuangamizwa kikamilifu silaha za kemikali duniani

    Rais Putin ataka kuangamizwa kikamilifu silaha za kemikali duniani

    Nov 27, 2017 23:10

    Rais wa Russia ameitaka jamii ya kimataifa ifanye juhudi za kuangamiza kikamilifu silaha za kemikali duniani.

  • Sudan katika jitihada za kustawisha uhusiano wake na Russia

    Sudan katika jitihada za kustawisha uhusiano wake na Russia

    Nov 27, 2017 04:42

    Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan ambaye alikuwa safarini mjini Moscow ameitaka Russia kuilinda Khartoum mbele ya uingiliaji kati wa Marekani nchini Sudan.

  • Al Bashir: Marekani ina mpango wa kuigawa Sudan

    Al Bashir: Marekani ina mpango wa kuigawa Sudan

    Nov 25, 2017 12:44

    Rais Omar al Bashir wa Sudan amesema kuwa mashinikizo na njama za Marekani ndivyo vilivyopelekea kugawanywa Sudan katika nchi mbili na kwamba Washington ina mpango wa kuigawa zaidi Sudan katika nchi tano tofauti.

  • Rais wa Russia akutana na Rais wa Syria na kumpongeza kufuatia mafanikio dhidi ya magaidi

    Rais wa Russia akutana na Rais wa Syria na kumpongeza kufuatia mafanikio dhidi ya magaidi

    Nov 21, 2017 04:38

    Rais Vladimir Putin wa Russia amempongeza Rais Bashar al-Assad wa Syria kufuatia ushindi mkubwa wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi.

  • Russia yawaonya raia wake kutotembelea Ulaya na Marekani

    Russia yawaonya raia wake kutotembelea Ulaya na Marekani

    Nov 18, 2017 11:50

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imewatahadharisha raia wake walio na nia ya kutembelea Marekani na nchi za Ulaya katika kipindi cha sherehe za mwaka mpya wa Milaadia na kusema kuwa kuna hatari ya kutokea mashambulizi ya kigaidi katika nchi hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS