Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Marekani ni dola vamizi, halikualikwa nchini Syria

    Russia: Marekani ni dola vamizi, halikualikwa nchini Syria

    Nov 17, 2017 00:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kuwepo wanajeshi wa Marekani katika ardhi ya Syria ni uvamizi na ni kinyume cha sheria.

  • Russia: Uchunguzi ufanyike kuhusu shambulizi la anga la Marekani Kunduz, Afghanistan

    Russia: Uchunguzi ufanyike kuhusu shambulizi la anga la Marekani Kunduz, Afghanistan

    Nov 12, 2017 01:04

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imewataka maafisa wa serikali ya Afghanistan na taasisi za kimaraifa za kutetea haki za binadamu wafanye uchunguzi kamili na usiopendelea upande wowote kuhusu shambulizi la anga la Marekani katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan.

  • Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika

    Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika

    Nov 03, 2017 01:02

    Rais Vladmir Putin wa Russia na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesema kuwa, kuangaliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA, ni jambo lisilokubalika.

  • Rais Putin wa Russia atarajiwa Iran kuhudhuria mkutano wa pande tatu

    Rais Putin wa Russia atarajiwa Iran kuhudhuria mkutano wa pande tatu

    Nov 01, 2017 01:01

    Rais Vladimir Putin wa Russia na Rais Ilham Aliyev wa Jamhuri ya Azerbaijan leo Jumatano wanatarajiwa kuwasili mjini Tehran kwa ajili ya mkutano wa pande tatu na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kutekelezwa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Kutekelezwa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Oct 28, 2017 23:38

    Serikali ya Marekani imechapisha orodha ya makampuni ya Russia iliyoyawekea vikwazo baada ya kuchapisha sheria mpya ya vikwazo dhidi ya Russia. Katika uwanja huo Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imechapisha orodha inayobainsha sheria hiyo ya vikwazo kuhusu Iran, Korea ya kaskazini na Russia na kutangaza kuyawekea vikwazo makampuni 39 ya kiulinzi na kiitelijinsia ya Russia.

  • Korea Kaskazini: Marekani ndio iliyoanzisha mchezo wa nyuklia, tutakabiliana nayo

    Korea Kaskazini: Marekani ndio iliyoanzisha mchezo wa nyuklia, tutakabiliana nayo

    Oct 21, 2017 12:57

    Afisa wa ngazi ya juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini amesema kuwa, Pyongyang itaendelea kujiimarisha zaidi kwa silaha za nyuklia kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya Marekani.

  • Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria

    Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria

    Oct 20, 2017 22:58

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwa mara ya kwanza imekiri kwamba, magaidi wanatumia silaha za kemikali huko Syria.

  • Maghala kadhaa makubwa ya silaha za Marekani na Israel yagunduliwa katika maficho ya Daesh Syria

    Maghala kadhaa makubwa ya silaha za Marekani na Israel yagunduliwa katika maficho ya Daesh Syria

    Oct 15, 2017 10:48

    Maghala kadhaa makubwa ya silaha za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel yamegunduliwa katika maficho ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mji uliokombolewa wa al Mayadin mkoani Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.

  • Russia: Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa JCPOA

    Russia: Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa JCPOA

    Oct 14, 2017 00:48

    Russia imeonya kuwa Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyotiwa saini mwaka 2015 baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.

  • Safari ya Mfalme Salman mjini Moscow; mapatano madogo yasiyo na taathira kubwa

    Safari ya Mfalme Salman mjini Moscow; mapatano madogo yasiyo na taathira kubwa

    Oct 06, 2017 20:41

    Ushahidi uliopo unaonyesha kwamba safari ya hivi karibuni ya Mfalme Salman wa Saudia mjini Moscow Russia, imekuwa na matokeo madogo ya kiuchumi na kijeshi yasiyo na umuhimu mkubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS