-
Makamanda 7 wa Daesh waangamizwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Russia huko Syria
Oct 03, 2017 10:59Wizara ya Ulinzi ya Russia leo imetangaza habari ya kuuawa makamanda saba wa kundi la kigaidi la Daesh katika mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za nchi hiyo huko Syria.
-
Russia yaua zaidi ya magaidi 2300 katika kipindi cha siku 10 nchini Syria
Oct 01, 2017 00:23Wizara ya Ulinzi ya Russia imeashiria kushindwa vibaya magaidi wa Daesh (ISIS) na Jabhatunnusra nchini Syria na kusema kuwa, ndege za kivita za Russia zimeua magaidi 2,359 na kujeruhi wengine 2,700 katika kipindi cha siku kumi zilizopita.
-
Safari ya Rais wa Russia nchini Uturuki; juhudi za kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili
Sep 29, 2017 04:27Alkhamisi ya jana tarehe 28 Septemba, Rais Vladimir Putin wa Russia alikutana na kufanya mazungumzo mjini Ankara Uturuki na Rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdoğan, ambapo viongozi hao wawili wamebadilishana mawazo kuhusiana na hali ya mambo katika eneo la Mashariki ya Kati pamoja na uhusiano wa pande mbili.
-
Russia kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini
Sep 27, 2017 06:28Afisa mmoja wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, Moscow imepanga kuanza mazungumzo ya kisiasa na Korea Kaskazini kwa ajili ya kupunguza mivutano na hofu katika rasi ya Korea.
-
Safari ya ujumbe wa Korea Kaskazini nchini Russia
Sep 27, 2017 04:24Katika kushadidi mgogoro kati ya Marekani na Korea Kaskazini, ujumbe wa ngazi za juu wa Pyongyang umefanya safari nchini Russia kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa taifa hilo.
-
Russia: Marekani haiwezi kuthubutu kuishambulia Korea Kaskazini
Sep 25, 2017 00:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani haithubutu kufanya shambulizi lolote dhidi ya Korea Kaskazini kwa kuwa inafahamu fika kwamba Pyongyang ina mabomu ya nyuklia.
-
Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini
Sep 18, 2017 09:46Meli za kivita za China na Russia zimeanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi karibu na Korea Kaskazini huku kukiwa na wasiwasi kuwa mvutano baina ya Marekani na Korea Kaskazini unaweza kugeuka na kuwa makabiliano ya ana kwa ana ya kijeshi.
-
Russia: Vita na machafuko duniani vinasababishwa na demokrasia chafu ya Marekani
Sep 16, 2017 09:10Mkuu wa Baraza la Federesheni ya Russia amesema kuwa, demokrasia ya Marekani ndio chanzo cha machafuko, vita na maafa ya kibinaadamu.
-
Kikao cha Waziri wa Ulinzi wa Russia na Rais Bashar al-Assad wa Syria
Sep 13, 2017 23:23Jumanne iliyopita Sergey Shoygu, Waziri wa Ulinzi wa Russia alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa Syria.
-
Aslimia 85 ya ardhi ya Syria imekombolewa toka mikononi mwa magaidi
Sep 12, 2017 22:02Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa asilimia 85 ya ardhi yake iliyokuwa ikidhibitiwa na magenge ya kigaidi.