-
Makumi ya magaidi wa Daesh waangamizwa Deir ez Zor Syria
Sep 08, 2017 14:23Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa makumi ya magaidi ya kundi la Daesh wameuawa katika shambulio la ndege za kivita za nchi hiyo katika eneo la Deir ez Zor mashariki mwa Syria.
-
Onyo la Putin kuhusu hatari ya kugeuka mgogoro wa Korea kuwa janga la kimataifa
Sep 08, 2017 01:57Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, kuendelea mgogoro wa hivi sasa uliojitokeza baada ya majaribio ya makombora na bomu la nyuklia ya Korea Kaskazini kunaweza kuleta maafa makubwa kwa dunia nzima.
-
Putin: Vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini havitakuwa na taathira yoyote
Sep 05, 2017 09:45Rais wa Russia Vladimir Putin ametahadharisha kuhusu kuibuka mgogoro mkubwa wa kimataifa iwapo kadhia ya Peninsula ya Korea haitasuluhishwa kwa njia ya kidiplomasia.
-
Russia yaapa kujibu vikali uadui wa Marekani
Sep 01, 2017 21:56Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov amesema kuwa, nchi hiyo itajibu vikali hatua za kiuadui za Marekani zinazoilenga Russia.
-
Iran na Russia zajadili usalama wa Bahari ya Caspian
Aug 27, 2017 03:17Maafisa wa ngazi za juu wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu njia za kuimarisha zaidi usalama katika Bahari ya Caspian.
-
Radiamali kali ya Russia juu ya ongezeko la kuwepo kijeshi Marekani nchini Ukraine
Aug 26, 2017 06:37Igor Morozev, afisa wa ngazi ya juu katika bunge la Russia ameonya kwamba, nchi yake itachukua hatua maalumu ikiwemo kuimarisha mipaka yake, ikiwa Marekani itapanua uwepo wake kijeshi nchini Ukraine.
-
Russia: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima
Aug 25, 2017 09:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa, hatari ya ugaidi nchini Syria ni tishio kwa ulimwengu mzima na kuongeza kwamba, hali ya sasa haihusiani na nchi hiyo ya Kiarabu pekee, bali inajumuisha dunia nzima.
-
Russia: Stratejia mpya ya US nchini Afghanistan, hatima isiyo na tija
Aug 24, 2017 09:49Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema stratejia mpya ya kijeshi ya Washington kuhusiana na Afghanistan itagonga mwamba kwa kuwa inasisitizia utumiaji wa mabavu.
-
Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria
Aug 17, 2017 03:09Russia imetangaza kuwa Marekani na Uingereza zinakiuka sheria za kimataifa kwa kuwapatia silaha za kemikali magaidi huko Syria.
-
Russia: Kampeni ya US huko Afghanistan imefeli, iondoe askari wake
Aug 15, 2017 02:43Mjumbe maalumu wa Rais wa Russia nchini Afghanistan amesema kampeni na uwepo wa vikosi vya Marekani nchini Afghanistan haujawa na tija yeyote hadi sasa na kwa msingi huo Washington inafaa kuwaondoa wanajeshi wake nchini humo mara moja.