-
Indhari ya Ujerumani na Russia kuhusu hatari ya kutokea vita kati ya Marekani na Korea Kaskazini
Aug 12, 2017 09:02Kuongezeka mivutano na kutoleana kauli za vitisho viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kumeitia wasiwasi mkubwa jamii ya kimataifa juu ya uwezekano wa kutokea vita katika eneo la Mashariki mwa Asia.
-
Nchi za Ulaya zaendelea kupinga vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia
Aug 10, 2017 23:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Sigmar Gabriel amesema kuhusu vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia kwamba, hatua mpya za Marekani za kutaka kuibana zaidi Russia zinaweza kusababisha matatizo katika umoja wa nchi za Magharibi kuhusu mgogoro wa Ukraine.
-
Russia yatishia kuishambulia Israel iwapo itavunja makubaliano ya kusitisha vita Syria
Aug 07, 2017 22:33Naibu kamanda wa vikosi vya jeshi la Russia huko kusini mwa Syria ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba, uwapo utakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano kusini mwa Syria, Moscow inajua nini inapaswa kufanya.
-
Kutekelezwa vikwazo mpya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Aug 06, 2017 23:14Umoja wa Ulaya umeanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Russia kuhusiana na mzozo wa peninsula ya Crimea.
-
Medvedev: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia ni tangazo la vita
Aug 03, 2017 23:29Waziri Mkuu wa Russia amesema kuwa, vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya nchi hiyo ni sawa na kutangaza vita vya pande zote dhidi ya nchi yake.
-
Trump asaini mswada wa vikwazo dhidi ya Iran, Russia na Korea Kaskazini
Aug 02, 2017 22:04Rais Donald Trump wa Marekani amesaini kuwa sheria mpango wa vikwazo uliopitishwa na Bunge la Wawakilishi na Seneti ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Korea Kaskazini.
-
Warusi wengi wana mtazamo chanya kuhusu Waislamu
Aug 02, 2017 22:04Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Russia yameonyesha kuwa raia wengi wa nchi hiyo wana mtazamo chanya kuhusu Waislamu.
-
Iran na Russia kuendelea kushirikiana kuhusu mgogoro wa Syria
Aug 02, 2017 03:42Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuendelezwa mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria, sambamba na kupambana na magenge ya kigaidi.
-
Syria: Uungaji mkono wa Iran, Russia na Hizbullah kwetu umebadilisha hali ya mlingano duniani
Jul 29, 2017 03:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa ugaidi hauwezi kuyashinda mataifa na kusisitiza kwamba jeshi la nchi hiyo na mhimili wa muqawama zitaendelea kupambana na ugaidi.
-
Maneva ya siku mbili ya kijeshi kati ya Russia na China katika maji ya bahari ya Baltic
Jul 27, 2017 03:01Maneva ya kijeshi ya baharini kati ya Russia na China yalianza siku ya Jumanne ya tarehe 25 mwezi huu katika maji ya bahari ya Baltic.