Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Japan: Tutaishawishi Russia isaidie katika kutatua mgogoro wa eneo la Korea

    Japan: Tutaishawishi Russia isaidie katika kutatua mgogoro wa eneo la Korea

    Jul 11, 2017 03:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Japan, Norio Maruyama amesema kuwa, Tokyo na washirika wake wataishawishi Russia ili iweze kushiriki katika kutatuliwa mgogoro wa eneo la Korea.

  • China na Russia zapinga utumiwaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

    China na Russia zapinga utumiwaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

    Jul 05, 2017 23:52

    China na Russia zimetangaza kupinga utumiaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

  • Russia: Madai mapya ya USA ya silaha za kemikali dhidi ya Syria, ni vita ya kisaikolojia dhidi ya Damascus

    Russia: Madai mapya ya USA ya silaha za kemikali dhidi ya Syria, ni vita ya kisaikolojia dhidi ya Damascus

    Jul 02, 2017 23:42

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, madai mapya ya Marekani kulilenga jeshi la Syria kwamba, limetumia silaha za kemikali katika viunga vya mji wa Damascus, ni vita vya kisaikolojia na propaganda tu dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Jun 29, 2017 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa ni lazima kushirikiana na serikali ya Rais Bashar Assad wa Syria ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Lavrov akosoa harakati za Marekani dhidi ya Russia

    Lavrov akosoa harakati za Marekani dhidi ya Russia

    Jun 23, 2017 03:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa hatua ya Marekani ya kuiwekea nchi yake vikwazo vipya.

  • Russia: Kuna uwezekano mkubwa kiongozi wa Daesh ameuawa

    Russia: Kuna uwezekano mkubwa kiongozi wa Daesh ameuawa

    Jun 23, 2017 00:04

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, kuna uwezekano mkubwa kwamba kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi ameangamizwa.

  • Putin: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo

    Putin: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo

    Jun 14, 2017 21:59

    Huku mivutano kati ya Moscow na Washington ikiwa imepamba moto, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa, Marekani inawaunga mkono magaidi wa Chechniya huko Kaukazia Kaskazini na kuwatumia magaidi hao kuvuruga usalama na utilivu wa Russia. Rais Putin amesema Idara za Intelijensia za Marekani zimewapa misaada ya kiintelijensia, kisiasa, kifedha na kadhalika magaidi Chechniya licha ya malalamiko na upinzani wa Moscow.

  • Putin: Hakuna atakayepona katika vita vya nyuklia vya Marekani na Russia

    Putin: Hakuna atakayepona katika vita vya nyuklia vya Marekani na Russia

    Jun 07, 2017 02:46

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuwa, iwapo Marekani itaamua kuingia katika vita vya nyuklia na nchi yake, hakuna upande utakaopona 'kusherehekea' ushindi.

  • Putin akariri umuhimu wa Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Putin akariri umuhimu wa Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    May 31, 2017 22:49

    Kwa mara nyingine tena Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza juu ya umuhimu na nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.

  • Rouhani: Iran kuendeleza ushirikiano wa pande tatu na Russia, Syria

    Rouhani: Iran kuendeleza ushirikiano wa pande tatu na Russia, Syria

    May 27, 2017 09:03

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendeleza ushirikiano na Russia katika kuimarisha amani, uthabiti na mapambano dhidi ya ugaidi hasa nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS