-
Uvamizi wa Marekani Libya ni hatua iliyoyumbisha nchi hiyo ya Kiafrika
Apr 11, 2016 23:27Serikali ya Russia imesema kuwa uvamizi wa kijeshi wa Marekani huko Libya ni hatua iliyovuruga uthabiti wa nchi hiyo.
-
Nato na Russia huenda zikaanzisha mazungumzo baada ya miaka miwili
Apr 08, 2016 09:36Russia imesema kuwa huenda ikafanya mazungumzo na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi Nato katika wiki chache zijazo.
-
Urusi yaitaka Uturuki kuacha kuwasaidia magaidi
Apr 04, 2016 23:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaka Uturuki kuacha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuunga mkono ugaidi.
-
Russia: Iran haijakiuka maazimio ya kimataifa
Mar 30, 2016 21:50Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa nchi yake inapinga hatua yoyote ya kuweka vikwazo dhidi ya Iran kwa sababu Tehran haijakiuka azimio lolote kwa kufanya majaribio ya makombora.
-
Russia yatuma vikosi vya nchi kavu huko Syria
Mar 24, 2016 10:37Kamanda mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la Russia amesema kuwa nchi hiyo imetuma huko Syria kikosi maalumu kwa ajili ya kufanya oparesheni ya upelelezi na kazi nyingine maalumu nchini humo.
-
Ndege ya Dubai yaanguka Russia, 62 wafariki
Mar 19, 2016 00:01Watu 62 wamefariki dunia mapema leo baada ya ndege ya abiria ya Shirika la Fly Dubai kuanguka wakati ikijaribu kutua katika mji wa Rostov-on-Don kusini mwa Russia karibu na mpaya wa nchi hiyo na Ukraine.
-
Mawaziri wa kigeni wa Iran na Russia wajadili kadhia ya Syria
Mar 18, 2016 23:09Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazumgumzo ya simu kuhusu usitishwaji vita nchini Russia.
-
Lavrov: Kuondoka vikosi vya Russia ni kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa kutatua mgogoro wa Syria
Mar 16, 2016 04:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kuwa agizo lililotolewa na rais wa nchi hiyo la kutaka vikosi vya Russia kuondoka huko Syria halikutolewa ili kumfurahisha mtu, bali lengo la hatua hiyo ni kusaidia mchakato wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.
-
Amri ya Rais Putin ya kuondoka vikosi vya jeshi la Russia nchini Syria
Mar 15, 2016 12:16Rais Vladimir Putin wa Russia jana alitoa amri ya kuanza kuondoka vikosi vya jeshi la nchi hiyo vilivyoko nchini Syria.
-
Zarif: Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria, ishara nzuri
Mar 15, 2016 11:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametaja hatua ya Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria kuwa ni ishara nzuri.