Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria

    Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria

    Mar 15, 2016 03:37

    Ofisi ya Rais wa Syria imetangaza kuwa marais wa Russia na Syria wamekubaliana kupunguzwa idadi ya vituo vya anga vya vya jeshi la Russia nchini humo.

  • Russia: Uingiliaji kijeshi Libya unahitaji idhini ya Umoja wa Mataifa

    Russia: Uingiliaji kijeshi Libya unahitaji idhini ya Umoja wa Mataifa

    Mar 14, 2016 12:50

    Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema leo Jumatatu kuwa uingiliaji kijeshi huko Libya unawezekana iwapo tu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litaidhinisha suala hilo.

  • Russia: Hakuna uhusiano wowote baina ya makombora ya Iran na makubaliano ya nyuklia

    Russia: Hakuna uhusiano wowote baina ya makombora ya Iran na makubaliano ya nyuklia

    Mar 12, 2016 11:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, miradi ya makombora ya Iran haina uhusiano wowote na kadhia ya nyuklia ya nchi hiyo.

  • Russia: Marekani iache unafiki na undumakuwili

    Russia: Marekani iache unafiki na undumakuwili

    Mar 11, 2016 05:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaja Marekani pamoja na waitifaki wake wa Magharibi kuwa ni wanafiki kwa kukataa kulaani hujuma za hivi karibuni dhidi ya ubalozi wa Russia nchini Ukraine.

  • Russia: Wasyria wenyewe watainisha hatima ya nchi yao

    Russia: Wasyria wenyewe watainisha hatima ya nchi yao

    Feb 25, 2016 23:36

    Spika wa Bunge la Duma la Russia amesema kuwa hakuna nchi yenye haki ya kuainisha hatima ya Syria badala ya Wasyria wenyewe.

  • Al-Sisi akiri ndege ya Russia ilitunguliwa na magaidi Misri

    Al-Sisi akiri ndege ya Russia ilitunguliwa na magaidi Misri

    Feb 25, 2016 04:29

    Rais Abdul Fattah al-Sisi wa Misri amekiri kwamba ndege ya abiria ya Russia iliyoanguka mwezi oktoba mwaka uliopita katika anga ya nchi yake ilitunguliwa na magaidi.

  • EU yaonya kuhusu hatari ya vita vya Russia, Uturuki

    EU yaonya kuhusu hatari ya vita vya Russia, Uturuki

    Feb 24, 2016 04:12

    Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya ameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka vita baina ya Russia na Uturuki.

  • Rais Assad: Uchaguzi wa bunge Syria kufanyika Aprili

    Rais Assad: Uchaguzi wa bunge Syria kufanyika Aprili

    Feb 23, 2016 04:17

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ametangaza tarehe 13 Aprili mwaka huu 2016 kuwa siku ya uchaguzi wa bunge nchini humo.

  • Russia yapinga pendekezo la marufuku ya kupaa ndege Syria

    Russia yapinga pendekezo la marufuku ya kupaa ndege Syria

    Feb 17, 2016 11:40

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema, inapinga pendekezo la kuTENGWA eneo lisiloruhusiwa kupaa ndege ndani ya Syria na kutaka waratibu wa pendekezo hilo kuishirikisha serikali ya Damascus kabla ya kuchukuliwa uamuzi wowote.

  • Russia: Bashar Assad ni Rais halali wa Syria

    Russia: Bashar Assad ni Rais halali wa Syria

    Feb 14, 2016 23:38

    Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha kuwa Syria itaathiriwa na hali ya machafuko iwapo Rais Bashar Assad wa nchi hiyo atang'olewa madarakani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS