Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Walioivamia Afghanistan na kuikalia kwa mabavu miaka 20, ni wajibu wao kuwasaidia wananchi wa nchi hiyo

    Russia: Walioivamia Afghanistan na kuikalia kwa mabavu miaka 20, ni wajibu wao kuwasaidia wananchi wa nchi hiyo

    Dec 24, 2021 04:23

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, nchi zilizoivamia na kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa muda wa miaka 20 ndizo hasa zenye jukumu nambari moja la kuwasaidia wananchi wa nchi hiyo.

  • Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya

    Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya

    Dec 22, 2021 23:20

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake ina haki kamili ya kujihami dhidi ya hatua zisizo za kirafiki za Marekani na akabainisha kwamba Moscow itachukua hatua mwafaka za kijeshi na kiufundi juu ya suala hilo.

  • Rais wa Russia aionya Marekani kwa hatua za utoaji vitisho inazochukua dhidi ya nchi yake

    Rais wa Russia aionya Marekani kwa hatua za utoaji vitisho inazochukua dhidi ya nchi yake

    Dec 21, 2021 23:12

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameionya Marekani kuhusiana na hatua za utoaji vitisho inazochukua dhidi ya nchi yake.

  • Marekani yapinga azimio la Umoja wa Mataifa la kupinga ubaguzi wa rangi

    Marekani yapinga azimio la Umoja wa Mataifa la kupinga ubaguzi wa rangi

    Dec 19, 2021 01:55

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi iliyopita lilipitisha azimio la kulaani aina zote za ubaguzi wa rangi.

  • Russia yakanusha tuhuma za kuiuzia silaha Taliban, yasema ni madai ya kijinga

    Russia yakanusha tuhuma za kuiuzia silaha Taliban, yasema ni madai ya kijinga

    Dec 17, 2021 09:44

    Mwakilishi wa rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amekanusha habari iliyotangazwa na vyombo vya habari vya Magharibi kwamba nchi hiyo imeiuzia silaha serikali ya Taliban.

  • Russia yaionya NATO isiichochee Ukraine kuichokoza na kufanya chokochoko dhidi ya Moscow

    Russia yaionya NATO isiichochee Ukraine kuichokoza na kufanya chokochoko dhidi ya Moscow

    Dec 16, 2021 03:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelionya jeshi la Magharibi la NATO kuhusu kuipa silaha Ukraine na kuichochea kufanya chokochoko dhidi ya Moscow.

  • Rais wa Russia asema uhusiano wa nchi yake na China unaleta uthabiti katika uga wa kimataifa

    Rais wa Russia asema uhusiano wa nchi yake na China unaleta uthabiti katika uga wa kimataifa

    Dec 15, 2021 23:57

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, uratibu na mashauriano yanayofanywa baina ya nchi yake na China katika uga wa kimataifa umekuwa wenzo wa kupatikana uthabiti duniani.

  • Russia yasimamisha kwa muda uwekaji mitambo ya makombora barani Ulaya

    Russia yasimamisha kwa muda uwekaji mitambo ya makombora barani Ulaya

    Dec 14, 2021 08:56

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi hiyo imeamua kusimamisha kwa muda mpango wa kuweka mitambo yake ya makombora katika bara la Ulaya.

  • Russia: Iran ni kati ya nchi nne bora duniani katika uzalishaji makombora

    Russia: Iran ni kati ya nchi nne bora duniani katika uzalishaji makombora

    Dec 12, 2021 04:42

    Naibu Mkuu wa Akademia ya Makombora Russia amesema katika uga wa kijeshi Iran ni miongoni mwa nchi zilizoendelea na katika uundaji wa mifumo ya makombora Iran na ni miongoni mwa nchi nne bora duniani.

  • Kiongozi mpya wa Ujerumani aanza kazi kwa kuitisha Russia

    Kiongozi mpya wa Ujerumani aanza kazi kwa kuitisha Russia

    Dec 09, 2021 04:45

    Kansela mpya wa Ujerumani Olaf Scholz, ambaye amechukua hatamu za uongozi wa nchi hiyo kutoka kwa Angela Merkel, ameanza kazi kwa kutoa vitisho dhidi ya Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS