-
Russia kujiondoa SWIFT ya Marekani na kujiunga na Sepam ya Iran
May 04, 2021 21:50Russia imetangza kuwa itajiondoa katika mfumo wa kimataifa wa mabadilishano ya kifedha baina ya benki ujulikanao kama SWIFT na ambao unadhibitiwa na Marekani na badala yake itajiunga na mifumo mbadala ya kifedha ukiwemo ule mfumo wa kifedha wa Sepam wa Iran.
-
Putin ataka kuhuishwa JCPOA katika muundo wake wa asili
May 01, 2021 08:46Rais Vladmir Putin wa Russia ametoa mwito wa kuhuishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuyarejesha katika muundo wake wa asili.
-
Moscow: Siasa za Magharibi za kuingilia masuala ya ndani ya Syria hazikubaliki
Apr 29, 2021 05:43Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa siasa za nchi za Magharibi za kuingilia masuala ya ndani ya Syria hazikubaliki na ziinapingana na sheria za kimataifa.
-
Sudan yasitisha mkataba wa kujenga kituo cha kijeshi cha Russia kwa sababu ya Marekani
Apr 28, 2021 23:13Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa, mkataba wa kujenga kituo cha kijeshi cha nchi hiyo nchini Sudan umesimamishwa na serikali ya Khartoum.
-
Assad: Syria inaiunga mkono Russia katika kukabiliana na uhasama wa Magharibi
Apr 27, 2021 08:31Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema nchi yake inaunga mkono jitihada za Russia za kukabiliana na chokochoko na hatua za uhasama za baadhi ya nchi za Magharibi na nchi wanachama wa shirika la kijeshi la NATO zikiongozwa na Marekani.
-
Onyo lisilo na kifani la Putin kwa Wamagharibi kuhusu kuvuka mistari myekundu ya Russia
Apr 23, 2021 22:51Rais Vladimir Putin wa Russia amehutubu mbele ya wajumbe wa mabunge mawili ya nchi hiyo, Duma na Seneti, na magavana wa maeneo yote ya nchi hiyo ambapo ametoa onyo kali kwa nchi za Magharibi.
-
Balozi wa Marekani nchini Russia aitwa kurejea nyumbani
Apr 20, 2021 03:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba imemtaka balozi wake aliyeko mjini Moscow Russia arejee nyumbani kwa mashauriano zaidi na viongozi wa Washington.
-
Hatua mpya za serikali ya Biden dhidi ya Russia; vikwazo vipya na kufukuzwa wanadiplomasia
Apr 17, 2021 07:40Serikali ya Marekani juzi Alhamisi iliwawekea vikwazo Shakhsia 12 wa serikali ya Russia wakiwemo viongozi kadhaa wa serikali, wa masuala ya intelijensia wa nchi hiyo pamoja na taasisi 20 za Russia.
-
Russia yawafukuza wanadiplomasia 10 wa Marekani kujibu vikwazo vya Washington
Apr 16, 2021 22:59Katika kujibu mapigo kwa hatua ya uhasama na vikwazo vipya vya Washington vilivyotangazwa hivi karibuni na Rais Joe Biden dhidi ya Russia, serikali Moscow imewatimua nchini humo wanadiplomasia kumi wa Marekani.
-
Russia yaahidi kujibu mapigo baada ya kuwekewa vikwazo vipya vya Marekani
Apr 16, 2021 07:35Russia imeikosoa vikali serikali ya Marekani ikisema kuwa itajibu mapigo kwa vikwazo vipya vya nchi hiyo vilivyotangazwa na Rais Joe Biden dhidi ya Moscow.