-
Vitisho vikubwa vya Trump kwa China; upayukaji au kampeni za uchaguzi?
May 16, 2020 02:05Tangu alipoingia madarkani Donald Trump huko Marekani, rais huyo mwenye majigambo mengi amekuwa akifuata siasa maalumu dhidi ya China na kuishinikiza Beijing katika pande mbalimbali.
-
Russia: Hatuitaruhusu Marekani irefushe vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 13, 2020 03:48Russia imesema itapinga jitihada zozote za Marekani za kutaka muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran uongezwe utakapomalizika mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 12, 2020 21:51Marekani imekuwa iking’ang’ania kutekeleza siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" na kuendeleza vikwazo dhidi ya Iran iwe ni vikwazo vya upande mmoja au vikwazo vinavyohusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hususan vikwazo vya silaha.
-
Russia: Marekani ilifanya kosa la kistratijia kujiondoa JCPOA
May 09, 2020 23:42Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa viongozi wa Marekani hawana uwezo wa kuandaa mazingira ya kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran.
-
Russia yatangaza mshikamano wake na watu wa Iran
May 07, 2020 22:19Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amewatumia barua viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akitangaza mshikamano wake na raia wa nchi hii kutokana na mapambano yao makubwa dhidi ya vikwazo haramu na vya upande mmoja vya Marekani katika mazingira ya sasa.
-
Russia yakosoa msimamo wa kinafiki wa Marekani kuhusu JCPOA na azimio 2231
May 02, 2020 22:01Licha ya kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mwezi Mei 2018, Marekani imekuwa na msimamo wa kinafiki na kimaslahi kuhusiana na mapatano hayo pamoja na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 30, 2020 07:35Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.
-
Russia: Hatulitambui tangazo la serikali ya Haftar nchini Libya
Apr 29, 2020 22:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, serikali ya Moscow haikubali utawala wa kujitwika wa kiongozi wa wanamgambo wanaojiita 'Jeshi la Kitaifa la Libya' nchini humo.
-
Russia: Marekani inapaswa kutazama upya maamuzi yake yasiyo sahihi kuhusiana na Iran
Apr 28, 2020 20:19Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa mjini Geneva amesema kuwa Marekani inapaswa kutazama upya na kubadili maamuzi yake yasiyo sahihi kuhusiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mpango wa Pompeo wa kuzuia kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 28, 2020 02:43Kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, imepangwa kuwa, ifikapo tarehe 18 Oktoba 2020, vikwazo vya silaha dhidi ya Iran viondolewe.